Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Nendeni mkapigwe na jamaa huko pm
Kapigwe wewe mkuu Mimi mshikaji nilimuonya toka awali namna anavyoshare maana alishindwa kujua saikolojia za wabongo!. Hizi issue ni za kutulianazo ukipata na unashare na mtu ambae ni intelligent enough sasa mtu anaenda kuwatambia tigo..🤣🤣
What a fucking way!.

Enjoy yourself.
 
Nimejifunza

😅😅😅😃😃
 
dance-coffin.gif
 
Kwa sasa achana na sky vpn maana wakuda wameshachoma utambi, tigo wameibana.

lets get back to ec tunnel pro.

unapaswa kuwasha data LINE ISIYO NA MB HATA MOJA.

LINE YA TIGO TU

acha data on, kisha nenda washa ec tunnel pro. Ikiwaka kutoka red kwenda green, utaona inaanza kuhesabu na ka alama ka funguo kanakuja juu. Hapo mambo fresh unaingi mtandaoni unapeta.

add time usiruhusu kubakiza muda.mdogo..

pia ukimaliza, zima Data na Zima Ec tunnel pro.

usipozima ec tunnel, muda utaisha bila matumizi.

Ukiwa na shida zaidi, watsap me 0744033555.

Feel Free uje hata bila sadaka🙏🙏
mkuu kwa halotel hakuna maujanja kama hayo?
 
Nendeni mkapigwe na jamaa huko pm
Mkuu ina maana hata hio Free sky waliokua wanatumia wadau humu nilichaji hela?

Wadau waliouona wema wametoa sadaka zao

Basi tu ni vile nimekwama na jambo langu hapa nilihitaji nifikishe 100,000 niweze kwenda mahali fulani kwa shughuli muhimu ya kimaisha.

sikua na kitu mfukoni.

niliomba sadaka indirectly lakn kimoyo moyo nilibanwa na bado nimebanwa hasa.

Thanks guys for the love and support
Screenshot_20220331-144456.png
 
Thanks a lot Friends.

we enjoyed a lot being there.

kitonga kingine kikipatikana nita share na wana hapa hapa
View attachment 2170352
Kwahyo mmeanza kutumiana meseji za mihamala, wekeni ofa hizo wadau.. sie wenyewe ni Makapuku tu na hatuna hela tunataka vitonga, nyie tuwape hela tena..
Sio poA wadau tushee tu upendo, mifuko imetoboka sana, just imagine me Sina hata buku 5 Leo hii hapa kiongozi alafu bado VPN zinazingua piA
 
Mkuu hamna alieuziwa vpn.

watu waliitumia sana humu kabla haijafungiwa, ndio hao wanaotumiwa % za shukrani.

so dont feel bad. Nikipata nyingine nai share humu kiroho safi
 
Back
Top Bottom