Kapigwe wewe mkuu Mimi mshikaji nilimuonya toka awali namna anavyoshare maana alishindwa kujua saikolojia za wabongo!. Hizi issue ni za kutulianazo ukipata na unashare na mtu ambae ni intelligent enough sasa mtu anaenda kuwatambia tigo..🤣🤣Nendeni mkapigwe na jamaa huko pm
NimejifunzaKapigwe wewe mkuu Mimi mshikaji nilimuonya toka awali namna anavyoshare maana alishindwa kujua saikolojia za wabongo!. Hizi issue ni za kutulianazo ukipata na unashare na mtu ambae ni intelligent enough sasa mtu anaenda kuwatambia tigo..🤣🤣
What a fucking way!.
Enjoy yourself.
Kuwa mwangalifu pia mkuu maana ushaachia mawasiliano yako watu wanaokuchimba ndio watakaokuharibia!..Nimejifunza
😅😅😅😃😃
ushauri mzuri sana huu.Kuwa mwangalifu pia mkuu maana ushaachia mawasiliano yako watu wanaokuchimba ndio watakaokuharibia!..
Tatizo yule unayemsaidia ndiye anakuharibia mkuuKwa hiyo hutaki na wengine wafaidi au? Acha roho ya Kwa nn wewe.
Miafrika Kwa roho mbaya bana. Kitu chenyewe cha bure halafu unaleta roho za kimasikini hapa
Me jana ilikataa kukonekti ila niliponunu mb nikaenda kukonekti ikakubaliMungu ni mwema.
naamka na nuru na furaha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji2][emoji2]View attachment 2169885
Kweli mkuu?SkyVpn naoma inapiga mzigo hadi voda.....Aloo nyie @getrich katuokoa aloo
Kapigwe wewe mkuu Mimi mshikaji nilimuonya toka awali namna anavyoshare maana alishindwa kujua saikolojia za wabongo!. Hizi issue ni za kutulianazo ukipata na unashare na mtu ambae ni intelligent enough sasa mtu anaenda kuwatambia tigo..🤣🤣
What a fucking way!.
Enjoy yourself.
mkuu kwa halotel hakuna maujanja kama hayo?Kwa sasa achana na sky vpn maana wakuda wameshachoma utambi, tigo wameibana.
lets get back to ec tunnel pro.
unapaswa kuwasha data LINE ISIYO NA MB HATA MOJA.
LINE YA TIGO TU
acha data on, kisha nenda washa ec tunnel pro. Ikiwaka kutoka red kwenda green, utaona inaanza kuhesabu na ka alama ka funguo kanakuja juu. Hapo mambo fresh unaingi mtandaoni unapeta.
add time usiruhusu kubakiza muda.mdogo..
pia ukimaliza, zima Data na Zima Ec tunnel pro.
usipozima ec tunnel, muda utaisha bila matumizi.
Ukiwa na shida zaidi, watsap me 0744033555.
Feel Free uje hata bila sadaka🙏🙏
Halotel hapana.mkuu kwa halotel hakuna maujanja kama hayo?
Mkuu ina maana hata hio Free sky waliokua wanatumia wadau humu nilichaji hela?Nendeni mkapigwe na jamaa huko pm
Kwahyo mmeanza kutumiana meseji za mihamala, wekeni ofa hizo wadau.. sie wenyewe ni Makapuku tu na hatuna hela tunataka vitonga, nyie tuwape hela tena..Thanks a lot Friends.
we enjoyed a lot being there.
kitonga kingine kikipatikana nita share na wana hapa hapa
View attachment 2170352
Mkuu hamna alieuziwa vpn.Kwahyo mmeanza kutumiana meseji za mihamala, wekeni ofa hizo wadau.. sie wenyewe ni Makapuku tu na hatuna hela tunataka vitonga, nyie tuwape hela tena..
Sio poA wadau tushee tu upendo, mifuko imetoboka sana, just imagine me Sina hata buku 5 Leo hii hapa kiongozi alafu bado VPN zinazingua piA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wengine majuhaOneni lingine hiliView attachment 2170427
Wewe mchawiii... Una umia nini
[emoji1787] Kuna watu hawajielewi.Oneni lingine hiliView attachment 2170427