Only her for ever
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 200
- 220
Install afu ulete majibuHii inAfanya kazi ipi..?
Nitoe ushuhuda ama nikaushe kwanzaInstall afu ulete majibu
Toa [emoji38]Nitoe ushuhuda ama nikaushe kwanza
GotiLain gn
Slow San unatumia sever ipGoti
Yeah ipo slow sana na kuna tym inakata kabisa ila nimejaribu voda ndobkabisaa hamna kituSlow San unatumia sever ip
Hizo slow DNS zenyewe sijui hata maana yake hata zinavyo fanya kazi sijui.Endelea kujifariji mwenyewee Mkuu! Watu tunapeta tu.Endelea kujifariji na slow DNS yenu
Mh!!! Mhhhhhh!!! Au BasiAirtel kaz kwenuView attachment 2181613
Nn[emoji848][emoji848]Mh!!! Mhhhhhh!!! Au Basi
Online ama madukani?Chief-Mkwawa eti wapi naweza pata usb earphone yenye mic na ni how much
Hapana nataka za pc mkuu hizi kama ambazo wanatumia wale watu wa customer careOnline ama madukani?
Online mkuu store zote za kampuni kubwa za Kichina kama Oneplus, Rock, Redmi etc aliexpress utakuta usb type C version ya Model maarufu.
Pia samsung wanazo Akg za usb, sema hizi chomoa mwenyewe kwenye box la simu ama nunua kwa Samsung wenyewe maana clone zake zimejaa kibao aliexpress na mtaani.
Kwa hapa Tz angalia zoomtanzania zipo nyingi tu
Unamaanisha headphone/headset sio?Hapana nataka za pc mkuu hizi kama ambazo wanatumia wale watu wa customer care
Duh asante mkuu ngoja nchekUnamaanisha headphone/headset sio?
Niliwahi kuzioa ms Meghji mjini kama miaka 2 hivi, kwa 70,000.
Naziona zoomtanzania Zipo search usb headset zitakuja sema bei ndefu 120k kupanda. Heapdphone hio hio amazon ni $20.
Pia mkuu kama hujali used kuna mama fulani hivi mwarabu Agrey kule wanapouza simu yeye anadeal na mitumba tu, unaweza bahatisha maana taka taka zote yeye anabeba tu.Hapana nataka za pc mkuu hizi kama ambazo wanatumia wale watu wa customer care
Duka lake linaitwaje mkuuPia mkuu kama hujali used kuna mama fulani hivi mwarabu Agrey kule wanapouza simu yeye anadeal na mitumba tu, unaweza bahatisha maana taka taka zote yeye anabeba tu.