Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kuna code ya GB 15 ila am so sorry nashare na watu wangu wa karibu wasio na ulimbukeni
Tuoneshe salio kama hivi
Screenshot_20220407-144947.png
 
We expose watu wafaidike.Hakuna ambacho hakina mwisho. Vingapi vimebuma lakini mpaka Sasa maisha yanaendelea. Expose watu watumie,Vikibuma watu wata tafuta alternative.
Rudi ujigambe tena kama mwanzo eti likibuma kuna alternative.
Watu wamekula pdproxy ile ya UDP port mpaka Leo hawajapata alternative yake maana ilikuwa na speed kinyama enzi za 3g sa hizi ingekuwa inagonga 30-60mbps kimchezo mchezo
 
Kuna code ya GB 15 ila am so sorry nashare na watu wangu wa karibu wasio na ulimbukeni
Sawa kabisa walikuwa wanajimwambafy eti kikinuka wana alternative.
Check sasa wanatafutana kwa tochi .
Sie tumeanza tumia http proxy, WAP trick kwenye simu za java ,unblock YouTube enzi zile za fuvu na 0.Facebook then Cproxy,pdproxy, tunnel guru kabla ya kuhamia droid VPN etc.
Madogo kizazi cha ha tunnel kelele nyingi kweli sasa wanahaa na slow DNS
 
Na uzuri slow DNS hazina hiyana, ni subira yako tu hahahaha
 
Rudi ujigambe tena kama mwanzo eti likibuma kuna alternative.
Watu wamekula pdproxy ile ya UDP port mpaka Leo hawajapata alternative yake maana ilikuwa na speed kinyama enzi za 3g sa hizi ingekuwa inagonga 30-60mbps kimchezo mchezo
Mb hazikatiki kwenye simu yangu Mkuu!

Usifikiri kwamba kubana kwao huko kwenye Vpn ndo hatutatumia internet.

Hiyo ndo maana yenyewe ya alternate,Yani wanabana kushoto unapita kulia.

Kwani HA tunnel kipindi kile cha Halotel sa ivi iko wapi? Unafikiri kwamba Kwa walibana kwenye app ya tunnel ndo walitupa laini zao mpaka Sasa hazitumiki??

Kipindi cha kudownload App ya Halotel na ku log in na kubewa gb za bure ,Kipindi Cha kutuma ujumbe wa Bure kwenye 15166 Tigo watu walitumia Vikibuma lakini maisha yakienda na yanaenda mpaka,Kwenda Kwa maisha ndo alternative yenyewe.

Hivi vitu vya bure kama vikipatikana elekeza wengine wanufaike japo Kwa siku kadhaa wakibana basiii... Maisha siyo kwamba ndo yanasimama.Hata kama useme ufiche iwe kimyakimya itagundulika tu Kwa watu wako unao waamini bado itajulikana TU maana unapo mupa mtu wako unae mwamini na yeye ana mtu wake anae mwamini na huyo aliye pewa ana mtu wake anae mwamini ko lazima wataelekezana jinsi ya kutumia ndo hapo mwanzo wa kusambaa na kubumaa.Sasa Yote hayo ya nini? Toa code watu watumie,Labda kama una hisa na hiyo mitandao hapo Sawa.Lakini Mkuu inaonesha una roho ya ubinafsi.

Uchawi unaanzaga ivyo...
 
Sawa kabisa walikuwa wanajimwambafy eti kikinuka wana alternative.
Check sasa wanatafutana kwa tochi .
Sie tumeanza tumia http proxy, WAP trick kwenye simu za java ,unblock YouTube enzi zile za fuvu na 0.Facebook then Cproxy,pdproxy, tunnel guru kabla ya kuhamia droid VPN etc.
Madogo kizazi cha ha tunnel kelele nyingi kweli sasa wanahaa na slow DNS
Wanatafutana Kwa tochi una maana gani?

Kwani hujui Kila kitu kinapoanza huwa kina mwisho wake Mkuu!!!

Hata zile bando za usiku watu walikuwa Wana download movie,watu walikuwa wanakesha mtu Yuko ladhi alale saa 3 aamke saa 7 a update PC Kwa bando la usiku au a download Series siku hizi hakuna. Uko Dunia Gani mkuu?!!

Kaa ukijua Kila kitu kina muda wa kuwepo na kupotea.Lakini kupotea kwake siyo kwamba ndo inakuwa mwisho.Ndo hapo alternative inapatikana na kupeta kama Kawa.
 
Endelea kujifariji na slow DNS yenu
 
Taarifa kwa umma ..

Uongozi wa Team Vpn wa Jf unapenda kuwa taarifu kuwa unafanya kazi changamoto zilizotokea na upo Ktk hatua za mwisho kuja na machimbo mapya ya Vpn ,wadau wote wa Vpn nawapa taarifa njema kuwa wakae mkao wa kula kwani tupo katika hatua majaribio na zinakwenda vizuri #Tuwe Pamoja Ktk kipindi hiki kigumu#MaaduiNiWengi.

A. adriz
Katibu Mkuu
Makao makuu Dom
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mb hazikatiki kwenye simu yangu Mkuu!

Usifikiri kwamba kubana kwao huko kwenye Vpn ndo hatutatumia internet.

Hiyo ndo maana yenyewe ya alternate,Yani wanabana kushoto unapita kulia.

Kwani HA tunnel kipindi kile cha Halotel sa ivi iko wapi? Unafikiri kwamba Kwa walibana kwenye app ya tunnel ndo walitupa laini zao mpaka Sasa hazitumiki??

Kipindi cha kudownload App ya Halotel na ku log in na kubewa gb za bure ,Kipindi Cha kutuma ujumbe wa Bure kwenye 15166 Tigo watu walitumia Vikibuma lakini maisha yakienda na yanaenda mpaka,Kwenda Kwa maisha ndo alternative yenyewe.

Hivi vitu vya bure kama vikipatikana elekeza wengine wanufaike japo Kwa siku kadhaa wakibana basiii... Maisha siyo kwamba ndo yanasimama.Hata kama useme ufiche iwe kimyakimya itagundulika tu Kwa watu wako unao waamini bado itajulikana TU maana unapo mupa mtu wako unae mwamini na yeye ana mtu wake anae mwamini na huyo aliye pewa ana mtu wake anae mwamini ko lazima wataelekezana jinsi ya kutumia ndo hapo mwanzo wa kusambaa na kubumaa.Sasa Yote hayo ya nini? Toa code watu watumie,Labda kama una hisa na hiyo mitandao hapo Sawa.Lakini Mkuu inaonesha una roho ya ubinafsi.

Uchawi unaanzaga ivyo...
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]uchawi unaanzaga hivyo [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom