itakiamo
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 893
- 1,739
Kuna code ya GB 15 ila am so sorry nashare na watu wangu wa karibu wasio na ulimbukeni
Weka hizo codes basi sio kulaumu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka hizo codes basi sio kulaumu tu
Tuoneshe salio kama hiviKuna code ya GB 15 ila am so sorry nashare na watu wangu wa karibu wasio na ulimbukeni
Sina mudaTuoneshe salio kama hivi
View attachment 2179045
Basi huna maana Kama ungekuwa nazo ungetuma screenshot watu waamini. Wewe ndo wale wale pia maneno na robo mbaya Tu.Sina muda
Sina maana kweli, afadhali umejua mapema, kuamini kwako kunanisaidia nini mimi?Basi huna maana Kama ungekuwa nazo ungetuma screenshot watu waamini. Wewe ndo wale wale pia maneno na robo mbaya Tu.
Rudi ujigambe tena kama mwanzo eti likibuma kuna alternative.We expose watu wafaidike.Hakuna ambacho hakina mwisho. Vingapi vimebuma lakini mpaka Sasa maisha yanaendelea. Expose watu watumie,Vikibuma watu wata tafuta alternative.
Sawa kabisa walikuwa wanajimwambafy eti kikinuka wana alternative.Kuna code ya GB 15 ila am so sorry nashare na watu wangu wa karibu wasio na ulimbukeni
Na uzuri slow DNS hazina hiyana, ni subira yako tu hahahahaSawa kabisa walikuwa wanajimwambafy eti kikinuka wana alternative.
Check sasa wanatafutana kwa tochi .
Sie tumeanza tumia http proxy, WAP trick kwenye simu za java ,unblock YouTube enzi zile za fuvu na 0.Facebook then Cproxy,pdproxy, tunnel guru kabla ya kuhamia droid VPN etc.
Madogo kizazi cha ha tunnel kelele nyingi kweli sasa wanahaa na slow DNS
Mb hazikatiki kwenye simu yangu Mkuu!Rudi ujigambe tena kama mwanzo eti likibuma kuna alternative.
Watu wamekula pdproxy ile ya UDP port mpaka Leo hawajapata alternative yake maana ilikuwa na speed kinyama enzi za 3g sa hizi ingekuwa inagonga 30-60mbps kimchezo mchezo
Wanatafutana Kwa tochi una maana gani?Sawa kabisa walikuwa wanajimwambafy eti kikinuka wana alternative.
Check sasa wanatafutana kwa tochi .
Sie tumeanza tumia http proxy, WAP trick kwenye simu za java ,unblock YouTube enzi zile za fuvu na 0.Facebook then Cproxy,pdproxy, tunnel guru kabla ya kuhamia droid VPN etc.
Madogo kizazi cha ha tunnel kelele nyingi kweli sasa wanahaa na slow DNS
Endelea kujifariji na slow DNS yenuWanatafutana Kwa tochi una maana gani?
Kwani hujui Kila kitu kinapoanza huwa kina mwisho wake Mkuu!!!
Hata zile bando za usiku watu walikuwa Wana download movie,watu walikuwa wanakesha mtu Yuko ladhi alale saa 3 aamke saa 7 a update PC Kwa bando la usiku au a download Series siku hizi hakuna. Uko Dunia Gani mkuu?!!
Kaa ukijua Kila kitu kina muda wa kuwepo na kupotea.Lakini kupotea kwake siyo kwamba ndo inakuwa mwisho.Ndo hapo alternative inapatikana na kupeta kama Kawa.
Atuoneshe kama hivTuoneshe salio kama hivi
View attachment 2179045
Kwa mwaka mzima ama miaka mitatu?
Mkuu saizi nyingi zimefungiwa kwaio nenda pray store download wire tun itakusadiaUnatumia ip?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Taarifa kwa umma ..
Uongozi wa Team Vpn wa Jf unapenda kuwa taarifu kuwa unafanya kazi changamoto zilizotokea na upo Ktk hatua za mwisho kuja na machimbo mapya ya Vpn ,wadau wote wa Vpn nawapa taarifa njema kuwa wakae mkao wa kula kwani tupo katika hatua majaribio na zinakwenda vizuri #Tuwe Pamoja Ktk kipindi hiki kigumu#MaaduiNiWengi.
A. adriz
Katibu Mkuu
Makao makuu Dom
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]uchawi unaanzaga hivyo [emoji28][emoji28][emoji28]Mb hazikatiki kwenye simu yangu Mkuu!
Usifikiri kwamba kubana kwao huko kwenye Vpn ndo hatutatumia internet.
Hiyo ndo maana yenyewe ya alternate,Yani wanabana kushoto unapita kulia.
Kwani HA tunnel kipindi kile cha Halotel sa ivi iko wapi? Unafikiri kwamba Kwa walibana kwenye app ya tunnel ndo walitupa laini zao mpaka Sasa hazitumiki??
Kipindi cha kudownload App ya Halotel na ku log in na kubewa gb za bure ,Kipindi Cha kutuma ujumbe wa Bure kwenye 15166 Tigo watu walitumia Vikibuma lakini maisha yakienda na yanaenda mpaka,Kwenda Kwa maisha ndo alternative yenyewe.
Hivi vitu vya bure kama vikipatikana elekeza wengine wanufaike japo Kwa siku kadhaa wakibana basiii... Maisha siyo kwamba ndo yanasimama.Hata kama useme ufiche iwe kimyakimya itagundulika tu Kwa watu wako unao waamini bado itajulikana TU maana unapo mupa mtu wako unae mwamini na yeye ana mtu wake anae mwamini na huyo aliye pewa ana mtu wake anae mwamini ko lazima wataelekezana jinsi ya kutumia ndo hapo mwanzo wa kusambaa na kubumaa.Sasa Yote hayo ya nini? Toa code watu watumie,Labda kama una hisa na hiyo mitandao hapo Sawa.Lakini Mkuu inaonesha una roho ya ubinafsi.
Uchawi unaanzaga ivyo...
Mkuu saizi nyingi zimefungiwa kwaio nenda pray store download wire tun itakusadi