Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #5,081
Maduka ya mule ndani hayana majina aisee, ni kama jengo la 3 ama la 4 mkono wa kulia ndani.Duka lake linaitwaje mkuu
Ipo Slow saaaanaaaaNn[emoji848][emoji848]
Ipi Iko slowIpo Slow saaaanaaaa
AltaufikIpi Iko slow
Ni Free ila ni slow hadi hutoipendaIpi Iko slow
Bora ufumbe macho tu uwe unalipia tigo postpaid [emoji2][emoji2]
Naon unaitak iyoiyo[emoji38][emoji38]Ipi Iko slow
Vipo mkuu :Vip mkuu vifurushi vya tigo vipo maana uzi umeingiliwa na Vpn
Vipo ambavyo sio siku 14?Vipo mkuu :
TIGO GB's ZILIZOPO:
GB120 kila mwezi gb10 BEI 30,000
Gb 96 kila mwezi GB 8 kwa 25,000/=
Gb78 kila mwez gb6.5 Bei 25,000
Gb66 Kila mwezi Gb5.5 Bei 15,000
TIGO FREE CALL KWA MIAKA 3 IPO BEI 35,000/=
Zipooo Zote ni Za mwaka Mmoja . Zinakamilika Kama upepo zinapita Ndani ya Dakika Tano .
Haloteljamani hakuna mtandao uliorudisha bando Za usiku? Nimechoka kuwa nakaa ofsini mpaka saa tatu usiku kisa kudownload mazaga
gb 1 kwa 1500 hailipi mkuu atleast ingekua gb 5
Ndo vilivyopo hivyo kwenye menu..gb 1 kwa 1500 hailipi mkuu atleast ingekua gb 5
Tigo saizi yako kwa hiyo 1500 unapata Gb kwa wiki na dk 20 tena bila masharti ya usiku.
Yeah,Lakini jamaa alikuwa anaulizia bundle za usiku.Tigo saizi yako kwa hiyo 1500 unapata Gb kwa wiki na dk 20 tena bila masharti ya usiku.
Hiyo 10gb ni Social netwek peke ake, au navimba kokoteVipo mkuu :
TIGO GB's ZILIZOPO:
GB120 kila mwezi gb10 BEI 30,000
Gb 96 kila mwezi GB 8 kwa 25,000/=
Gb78 kila mwez gb6.5 Bei 25,000
Gb66 Kila mwezi Gb5.5 Bei 15,000
TIGO FREE CALL KWA MIAKA 3 IPO BEI 35,000/=
Zipooo Zote ni Za mwaka Mmoja . Zinakamilika Kama upepo zinapita Ndani ya Dakika Tano .
Unavimba utakavyo ila tatizo ni siku 14 tu ndani mweziHiyo 10gb ni Social netwek peke ake, au navimba kokote
Hiyo free call ni mitandao yote?Vipo mkuu :
TIGO GB's ZILIZOPO:
GB120 kila mwezi gb10 BEI 30,000
Gb 96 kila mwezi GB 8 kwa 25,000/=
Gb78 kila mwez gb6.5 Bei 25,000
Gb66 Kila mwezi Gb5.5 Bei 15,000
TIGO FREE CALL KWA MIAKA 3 IPO BEI 35,000/=
Zipooo Zote ni Za mwaka Mmoja . Zinakamilika Kama upepo zinapita Ndani ya Dakika Tano .