Ugumu wake niniHali ngumu khaaa
Mzee imebid nijekukushukuru tena mzee ile kitu ya htttp custom ni hatari!! Shukrani sana mkuu
Kamseleleko hamna mzeee, vifurushi bei juu,Ugumu wake nini
Si utafute hukoKamseleleko hamna mzeee, vifurushi bei juu,
Upo kama mimi tu shughuli zote namaliziaga ofisini kabisa, uzuri ofisini kuna both WiFi Hotspot na Fiber internet zote za kasi ya mpaka 100 Mbps so ni umeme sabu hata users tupo chini ya 15 na wengi wao ni wazee wa kupost status na insta tu! nikirudi om hata bando la internet la 1000 linanitosha kwa week..Siku hizi internet majanga sana, mi nakomaaga na ya office tu nashusha vitu vyangu Kisha narudi kitaa, sema naonaga bill inakujaga 11-13M monthly I'm not sure kama ni kweli au wanatupiga ila wahasib ndo wata deal nao mi natumia tu
Bado ipo? Kwangu inagomaWale wa Vodacom tuuu....*165*40#
Hata kwangu inagoma tokea muda Inaelekea ishafyekwa baada ya raia kupeana mchongo na kusambaa zaidi.Bado ipo? Kwangu inagoma
Kwani ilikuwa na nini?Hata kwangu inagoma tokea muda Inaelekea ishafyekwa baada ya raia kupeana mchongo na kusambaa zaidi.
Unapata Gb1 madakika na Sms kutumia wiki kwa buku tu, raia kibao wamepata humu Jf coz kuna mdau mapema alisanua mchongo na kuanzisha kwa kuanzisha uzi mida ya jioni.Kwani ilikuwa na nini?
Kwa kuwa situmii voda haijaniahitua sana.Unapata Gb1 madakika na Sms kutumia wiki kwa buku tu, raia kibao wamepata humu Jf coz kuna mdau mapema alisanua mchongo na kuanzisha kwa kuanzisha uzi mida ya jioni.
Mh office ina deal na nnSiku hizi internet majanga sana, mi nakomaaga na ya office tu nashusha vitu vyangu Kisha narudi kitaa, sema naonaga bill inakujaga 11-13M monthly I'm not sure kama ni kweli au wanatupiga ila wahasib ndo wata deal nao mi natumia tu
Kizuri kula na wenzako ila hapa leo nipo peke yangu nipe ujuzi na mm nije niwashukuruMzee imebid nijekukushukuru tena mzee ile kitu ya htttp custom ni hatari!! Shukrani sana mkuu
Kipo kwa Tigo... ila hakikisha anayekuunga mnafahamiana vizuriHivi wale jamaa wanaounga bando la internet Kwa siku 14 alafu linajirudia Kwa mwezi unaofuata ni kweli hicho kifurushi kipo na kinafanya kazi? au nataka kupigwa na kitu kizito wadau? Nielewesheni juu ya hili
VODACOM PACKAGE
SIKU YA KUUNGA NI TAREHE 18/06/2022
NB.VIFURUSHI VYOTE NI VYA MWEZI MMOJA TU.
1.Pata GB 16 Kwa Tsh.20,000.
2.Pata GB 7 & Dk 1200{ Yote}+Sms 500 Kwa Tsh.20,000.
3.Pata GB 32 Kwa Tsh.40,000.
4.Pata GB 23 & Dk 1200{Yote}+Sms 500 Kwa Tsh.40,000.
5.Pata GB 14 & Dk 2400{Yote}+Sms 1000 Kwa Tsh.40,000.
6.Pata GB 48 Kwa Tsh.60,000.
7.Pata GB 39 & Dk 1200{Yote}+Sms 500 Kwa Tsh.60,000.
8.Pata GB 21 & Dk 3600{Yote}+Sms 1500 Kwa Tsh.60,000.
Nb.Pia Gb 64, Gb 80,Gb 96 & Gb 112 Na Kuendelea Zinapatikana..Lakini Kila GB 16 ni Tsh.20,000.
Mcheki Mr kiuno Gb fasta tu na uhakikaMzee nasubiri package za tigo
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]