Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Naomba elimu kidogo kuhusu home internet by tigo???
 
Wakubwa, hivi vifurushi hususani vya tigo no Bora other dealers muwaweke wazi watu kwamba ni within 14days kwa kila mwezi. Na pia vile vya free calls kwa sasa vina mushkeli. Ni Bora ujitusu tu ulipie 25k kila mwezi kwa postpaid ulambe 30GB hakuna namna View attachment 2206823
Kwa nini usitoe 45k 30GB unlimited kuliko hicho cha mwezi
 
Wakubwa, hivi vifurushi hususani vya tigo no Bora other dealers muwaweke wazi watu kwamba ni within 14days kwa kila mwezi. Na pia vile vya free calls kwa sasa vina mushkeli. Ni Bora ujitusu tu ulipie 25k kila mwezi kwa postpaid ulambe 30GB hakuna namna View attachment 2206823
Ww ndio umenifungua!nilikua nashangaa sana na alieniunga mara kadhaa nimekua nikimwambia hili anajifanya haelewi!
Yani ni uduwanzi tupu!
 
Hujielewi!!!
Kwa sasa hakuna Fast DNS inayopiga mzigo zaidi ya slow DNS hicho ndicho nilichomaanisha.
Kina Eltawfiq, Ec tunnel,Utloop, nazile za kucreate file kama Napsternet, SBR injector,open tunnei, http custom zote protocol inayopiga mzigo ni Slow DNS kasoro kile cha Asubuhi ndio V2RAY
Mkuu slow dns mnaitumiaje nitoe ushamba kidogo ndugu yangu
 
Back
Top Bottom