Kanye2016
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,904
- 3,006
Wewe ndo ujielewi, ungekuwa unajielewa ungeufyata Tu, maana wengi tumefaidika na VPN toka zilipoletwa kwenye Uzi huu na nyuzi zengine kwenye hii app.Hujielewi!!!
Kwa sasa hakuna Fast DNS inayopiga mzigo zaidi ya slow DNS hicho ndicho nilichomaanisha.
Kina Eltawfiq, Ec tunnel,Utloop, nazile za kucreate file kama Napsternet, SBR injector,open tunnei, http custom zote protocol inayopiga mzigo ni Slow DNS kasoro kile cha Asubuhi ndio V2RAY
Lakini hakukuwa na mtu kimbelembele Kama wewe kutoa shit kuhusu VPN. FYI Fast DNS ipo na inapiga mzigo fresh tu, Kama vitu hujui nyamaza Tu.Shubaamit!