Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hujielewi!!!
Kwa sasa hakuna Fast DNS inayopiga mzigo zaidi ya slow DNS hicho ndicho nilichomaanisha.
Kina Eltawfiq, Ec tunnel,Utloop, nazile za kucreate file kama Napsternet, SBR injector,open tunnei, http custom zote protocol inayopiga mzigo ni Slow DNS kasoro kile cha Asubuhi ndio V2RAY
Wewe ndo ujielewi, ungekuwa unajielewa ungeufyata Tu, maana wengi tumefaidika na VPN toka zilipoletwa kwenye Uzi huu na nyuzi zengine kwenye hii app.
Lakini hakukuwa na mtu kimbelembele Kama wewe kutoa shit kuhusu VPN. FYI Fast DNS ipo na inapiga mzigo fresh tu, Kama vitu hujui nyamaza Tu.Shubaamit!
 
Mkuu huyo ni Ndumilakuwili achananae, hii FTI Fast DNS inapiga kazi kwa line gani..?
 
Hujielewi!!!
Kwa sasa hakuna Fast DNS inayopiga mzigo zaidi ya slow DNS hicho ndicho nilichomaanisha.
Kina Eltawfiq, Ec tunnel,Utloop, nazile za kucreate file kama Napsternet, SBR injector,open tunnei, http custom zote protocol inayopiga mzigo ni Slow DNS kasoro kile cha Asubuhi ndio V2RAY
Jamaa Ktk kila maelezo unaweka mfano Vpn kibao wkt Moja au mbili ingetosheleza kiasi cha kueleweka hoja yako sasa lengo lako tukujue wewe mtaalamu sana wa Vpn au ? Mbona haukushea hata moja kwa wana kwa vile zimepigwa block unaleta showoffs zisizo na tija 😂😂😂😂😆😆
 
Sawa
 
Wewe ndo ujielewi, ungekuwa unajielewa ungeufyata Tu, maana wengi tumefaidika na VPN toka zilipoletwa kwenye Uzi huu na nyuzi zengine kwenye hii app.
Lakini hakukuwa na mtu kimbelembele Kama wewe kutoa shit kuhusu VPN. FYI Fast DNS ipo na inapiga mzigo fresh tu, Kama vitu hujui nyamaza Tu.

Wewe ndo ujielewi, ungekuwa unajielewa ungeufyata Tu, maana wengi tumefaidika na VPN toka zilipoletwa kwenye Uzi huu na nyuzi zengine kwenye hii app.
Lakini hakukuwa na mtu kimbelembele Kama wewe kutoa shit kuhusu VPN. FYI Fast DNS ipo na inapiga mzigo fresh tu, Kama vitu hujui nyamaza Tu.Shubaamit!
Basi sawa siyo kesi
 
Wakubwa, hivi vifurushi hususani vya tigo no Bora other dealers muwaweke wazi watu kwamba ni within 14days kwa kila mwezi. Na pia vile vya free calls kwa sasa vina mushkeli. Ni Bora ujitusu tu ulipie 25k kila mwezi kwa postpaid ulambe 30GB hakuna namna
IMG_20220501_064325.jpg
 
Wakubwa, hivi vifurushi hususani vya tigo no Bora other dealers muwaweke wazi watu kwamba ni within 14days kwa kila mwezi. Na pia vile vya free calls kwa sasa vina mushkeli. Ni Bora ujitusu tu ulipie 25k kila mwezi kwa postpaid ulambe 30GB hakuna namna View attachment 2206823
Ebhana hiii nimeikubali unajiungaje naitamani sana ili niweze kujiachia
 
Back
Top Bottom