Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Safi, nimelipokeaUkinuua kifurushi then ukilipa kabla ya muda wa kukatiwa ukiwapigia na kuwaambia wana double speed.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi, nimelipokeaUkinuua kifurushi then ukilipa kabla ya muda wa kukatiwa ukiwapigia na kuwaambia wana double speed.
Bado hawajazima mkuu?watumiaji wa tigo
washa data af endelea kuperuzi mtandaoni
hata kama huna bando tigo wamesahau kuzima hotspot Usk huu
nasubili jibu na mimiBado hawajazima mkuu?
Mpaka Sasa saa 5 kamili asubuhi bado hawajazimanasubili jibu na mimi
Huku vikindu mkuranga mmefika?Mkuu, walishakuja kufanya survey huko. Unaweza kuwasiliana na huyu jamaa 0655858588
Unaishi dunia ya wapi ndugu [emoji1787][emoji1787], 25k inakua balaa ?duuuuh kla mwezi unatoa 25,000 mbna hapo balaa nkajua ukitoa 25,000 inakuwa tyar unatamba tu mwaka mzima
Zipo. Ila kwa gharama na package tofauti tofauti.Mitandao mingine haina hii huduma?
Vodacom vifuryshi vya chuo
Kwa siku
![]()
Kwa wiki
![]()
Wifi zipo za kutosha mjini ukitafuta Connection hata bure utapata.Hivi nikienda internet cafe za mamlaka ya posta na pc yangu watanichaji ngapi kwa saa nzima? Naona kama hiyo ndiyo option niliyobakiza
Mkuu napataje vifurushi hivi angalau nipunguze maumivu ya mabandoGone are the days.
Line ipi?THOR DROID VPN NI ZAIDI YA KULAMBA SUKARIIIIIIII FREEEEEE INTERNET HAPA NA COMMENT with this droid vpn bila hata mb za kuweka
TigoLine ipi?
tunatofautiana ndgu wengne tupo kitaa tunaangaika tuUnaishi dunia ya wapi ndugu [emoji1787][emoji1787], 25k inakua balaa ?
Kwa hiyo mwanzo unalipa 50,000/- pamoja na deposit?Ndio mzee. Ile 25,000 inabaki kama savings siku ukiamua kuacha kulipa ndio unapewa mwezi mmoja wa 30GBs kufunga mkataba.
Nilichopenda kuhusu hii huduma, unapewa window ya kulipia kuanzia trh 1-11 ya kila mwezi mpya. Sio lazima hela yao iingie tarehe 1.
PoaTigo
Kwa mtandao gani?THOR DROID VPN NI ZAIDI YA KULAMBA SUKARIIIIIIII FREEEEEE INTERNET HAPA NA COMMENT with this droid vpn bila hata mb za kuweka
Mkuu hii namba mbona haipatikaniMkuu, walishakuja kufanya survey huko. Unaweza kuwasiliana na huyu jamaa 0655858588
Wikiendi leo jamaa atakuwa kazima simu maana usumbufu ni mwingi.Mkuu hii namba mbona haipatikani