Garfield
Senior Member
- Jan 13, 2020
- 109
- 369
TigoBusiness Post paid. Hii ni official offer from TIGO ya mwezi huu wa 8 tu.
Mimi nimejiunga hicho cha 25,000.
Kila mwezi offer inajirenew for 12 months na unapata 30GBs each month.
Unadeposit 25,000 kama security deposit kwenda TigoBusiness. (Inapatikana kwenye list ya makampuni kwenye kulipa billi via tigopesa menu)