WAZO2010
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,615
- 3,784
Ohhh sawa. Ahsante.Hapana hio ni ya waya, huwezi tembea nayo.
Ambayo unatembea nayo ni zile za kupimiwa kama vifurushi vilivyotumwa juu, unapewa Idadi maalum ya GB.
Samia aingilie kati. Siyo kwa kutafunwa huku kwa MB aiseee. Yaani MB 1000 ni masaa 6 tu hata si download kitu. Ni kuperuzi na kusoma News. Au Vodacom, Tigo na Airtel wame boost leakage ya data (Consumption ya data imechakachuliwa/yaani ina onesha kweli umetumia MB zote 1000 ila mzunguko wa kutumika wa data kume ongezewa mwendo usio wa kawaida).
Simu yangu haina option ya data Save. Nime tafta haipo.