hatari sana mkuu hata hii TTCL inayonadiwa hapa jukwaan nina wasiwasi nayo soon itapigwa pini tu.Hali ni ngumu tigo wamezuia zote gb zilizoungwa kinyemela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatari sana mkuu hata hii TTCL inayonadiwa hapa jukwaan nina wasiwasi nayo soon itapigwa pini tu.Hali ni ngumu tigo wamezuia zote gb zilizoungwa kinyemela
Izi gb buku ndo kaz kazGb15 Bei 25,000/=
Gb35 Bei 40,000/=
Gb55 Bei 60,000/=
Gb75 Bei 70,000/=
Gb100 Bei 90,000/=
Gb150 Bei 110,000/=
Gb 200 Bei 130,000/=
Gb 300 Bei 210,000/=
Gb 500 Bei 260,000/=
Gb1000 Bei 360,000/=
Wanasambaza mikoa kibao mkuu, kwetu huku Tanga kila mtaa, mjini dar mitaa kibao naona wanasambaza, niliongea nao within 2 month project yao ya sasa itakua imekamilika.Hii inemekahsje wadauView attachment 2295737
Nipe namba ya huyo mwana pmUkiwa tayari unatuma hela au unaonana na mchizi ukiwa na hela mkononi, unachagua kifurushi then kwenye laini yako ya TTCL Unaweka TSH 500 au 1000 ( Yani T-pesa). Kuna message itakuja ya Ku activate. inakuwa tayari bando lishaingia Kwa mwaka mzima.
Ngoja niende ofisini kwao leoWanasambaza mikoa kibao mkuu, kwetu huku Tanga kila mtaa, mjini dar mitaa kibao naona wanasambaza, niliongea nao within 2 month project yao ya sasa itakua imekamilika.
Cheki mtaani kwako kama ipo unga
Wanasambaza mikoa kibao mkuu, kwetu huku Tanga kila mtaa, mjini dar mitaa kibao naona wanasambaza, niliongea nao within 2 month project yao ya sasa itakua imekamilika.
Cheki mtaani kwako kama ipo unga
Ndio mkuu, maana waliniambia Cost za Nje zote ni juu yao, sisi tutalipa tu Cost za ndani ya Nyumba.Ni FTTH ama?
Ndio mkuu, maana waliniambia Cost za Nje zote ni juu yao, sisi tutalipa tu Cost za ndani ya Nyumba.
Yap inabidi wabadilike, la sivyo wataachwa. Wifi zikiwa nyingi majumbani na maofisini mobile data itakua luxury tu.Poa, kuna jamaa yangu ni meneja pale ngoja nimuulize kama hiyo huduma imesogea hadi mitaa yetu...
Kwenye upande wa internet, FTTX ndio habari imeshamiri kwa sasa, muda si mrefu Voda watakuja nao na hii huduma, ipo kwenye pipeline sasa...
Nimewapigia wanasema mtaani kwangu inapatikana na kufungiwa ni Bure. Afadhali maana hizi Bando za kina Tigo zinatuua Wallah.Hii inemekahsje wadauView attachment 2295737
ipo slow sanaKwa mlio na ttcl msilaze damu kuanzia leo asubuhi internet ni bure sijui offer inaisha sangapi..😂
Hizo Mbps zinamaanisha niniHii inemekahsje wadauView attachment 2295737
Mitaa gani mkuu upoNimewapigia wanasema mtaani kwangu inapatikana na kufungiwa ni Bure. Afadhali maana hizi Bando za kina Tigo zinatuua Wallah.
IlalaMitaa gani mkuu upo
Hio ni speed ya internet kama ilvo kbps mkuu sa mbps ni speed kubwa zaid ya kbpsHizo Mbps zinamaanisha nini
Washasitisha ungewahi Jana ndo ilikuwa moto nimepakua mivitu yakutosha..😂ipo slow sana