Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,796
- 2,367
ipo nichekiwakuu free vpn vp .wengine tunataka kitonga vifurushi vya voda garama kichizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ipo nichekiwakuu free vpn vp .wengine tunataka kitonga vifurushi vya voda garama kichizi
Uliweka vocha ya kukwangua au kupitia Tigopesa?!Unachoongea kina ukweli mimi niliunganishiwa vifurushi vya tigo kwenye line mbili, nimetumia miezi miwili fresh kabisaa juzi kati nikatumiwa message kuwa niwe na angalau TZS 2,000 kupata vifurushi vya internet nimeweka 3,000 hola vifurushi haviji tena kama zamani kwa kifupi tigo nahisi kuna ukaguzi umepita kukagua line zote zilizounganishwa na hivi vifurushi kimagumashi sasa kama wakikushtukia tu kuwa umeunganishwa kimagumashi wanakutoa kwenye vifurushi vyao. Kwa sasa vifurushi vya tigo ukiungwa illegal basi jua kumaliza mwaka ni ngumu sana ipo siku watakuchomoa tu
ya kukwanguaUliweka vocha ya kukwangua au kupitia Tigopesa?!
Aliyeniunga alinambia kwamba Kwass wamebadili utaratibu inatakiwa uweke vocha ya kukwangua ya buku2 iliyoshikana (sio za Buku buku mbili au jerojero) ndo unapata vifurushi.ya kukwangua
Inatakiwa ya buku2 mojaSawa, acha nami nijaribu nitaleta mrejesho maana mi niliweka vocha ya 1000 mara 3 jumla 3,000
Masharti kma yteInatakiwa ya buku2 moja
Me pia nasikilizia
Jinsi ya kujiunga hiyo ya halotel ya usiku pack msaada wakuu[emoji1488]
Halotel waliioondoa sidhani Kama imerudiHii huduma kwa halotel ipo??
Poa Singasinga tujaribu na tupeane mirejesho kama vifurushi vinakubaliInatakiwa ya buku2 moja
Me pia nasikilizia
Hii ni kwel?? Man utanifabya kesh nikanunue chip ya ttcl[emoji125][emoji125][emoji125]Bufee na hizi ni tofauti tena Acha kumdanganya. Hicho cha GB 15 plus SMS 1000 na dakika 1000 ni 34,500 Ila Sisi tunauza Kwa 20,000 Tu.
Na kile cha GB 1000 tena bila dakika wala sms, kwenye bufee kinasoma bei ni 1,500,000 wakati Sisi tunaviuza Kwa 360,000.
Ajaribu mwenyewe ajionee kwenye menu, Mimi nimemsaidia Ku screenshot hapo chini yeyote ajionee.
View attachment 2284660
View attachment 2284659
Hii 25k gb 30 unajiungj bossWakubwa, hivi vifurushi hususani vya tigo no Bora other dealers muwaweke wazi watu kwamba ni within 14days kwa kila mwezi. Na pia vile vya free calls kwa sasa vina mushkeli. Ni Bora ujitusu tu ulipie 25k kila mwezi kwa postpaid ulambe 30GB hakuna namna View attachment 2206823
Mimi niliambiwa niwe naweka vocha ya 1000/=+1000/= total 2000 /= katka tarehe uliyo unganishwa au around I tarehe hiyo ya kuunganishwa na mpaka Sasa fresh inapiga kaziUnachoongea kina ukweli mimi niliunganishiwa vifurushi vya tigo kwenye line mbili, nimetumia miezi miwili fresh kabisaa juzi kati nikatumiwa message kuwa niwe na angalau TZS 2,000 kupata vifurushi vya internet nimeweka 3,000 hola vifurushi haviji tena kama zamani kwa kifupi tigo nahisi kuna ukaguzi umepita kukagua line zote zilizounganishwa na hivi vifurushi kimagumashi sasa kama wakikushtukia tu kuwa umeunganishwa kimagumashi wanakutoa kwenye vifurushi vyao. Kwa sasa vifurushi vya tigo ukiungwa illegal basi jua kumaliza mwaka ni ngumu sana ipo siku watakuchomoa tu
T24 shukrani kwa mrejesho nasubiria tarehe ya kuja kifurushi nami niweke sasa wewe umenichanganya inatakiwa vocha za 1,000 mbili ndiyo ziwekwe au ni vocha moja ya 2,000 maana ndivyo Singasinga na Pietro walivyoshauriMimi niliambiwa niwe naweka vocha ya 1000/=+1000/= total 2000 /= katka tarehe uliyo unganishwa au around I tarehe hiyo ya kuunganishwa na mpaka Sasa fresh inapiga kazi
Mimi niliweka hizo vocha lakini ikagoma, niliwapigia tigo wakanaambia nitume neno bure kwenda 15166 ili nipatiwe hizo MB.T24 shukrani kwa mrejesho nasubiria tarehe ya kuja kifurushi nami niweke sasa wewe umenichanganya inatakiwa vocha za 1,000 mbili ndiyo ziwekwe au ni vocha moja ya 2,000 maana ndivyo Singasinga na Pietro walivyoshauri
sasa wewe umeongea jambo zuri sana na ambalo linamaliza utata na limenifungua macho ipo hivii na mimi nilikuwa na line tatu moja ya kitambo sana nikaongeza line mbili ambazo zote ilikuwa kwa ajili ya hivi vifurushi vya magumashi kuanzia mwezi wa tano tigo wakawa wananisumbua sana kwa kunipigia simu pamoja na kunitumia mimeseji wakitaka niamue main line ni ipi nikaweka main line ile ya kitambo baada tu ya kufanya hivyo zile line 2 zenye vifurushi vya tigo, vifurushi vya internet vikagoma kuwa vinakuja kama kawaida kwa kifupi biashara ya internet kitonga ikaishia hapo ambapo case hii inafanana na ya kwako. Kwa case yako na yangu nahitimisha kuwa kwa hiyo kama una line zaidi ya moja kwa tigo na kama una hivi vifurushi moja kwa moja kwenye line mojawapo au zote wanahitimisha kuwa umeungwa kimagumashi so wanablock vifurushi vyao wakipenda kujiridhisha zaidi watacheki je umenunua hizo simu zao waone ndiyo sababu ya wewe kuwa na vifurushi vyao, sasa kama wakiona kwenye kumbukumbu zao hakuna simu yao uliyonunua moja kwa moja wanahitimisha kuwa uliunganishwa kimagumashi kwenye vifurushi na wanajua hata ukiwapeleka TCRA utashindwa tu maana huna hata kipande cha karatasi sio hard copy wala soft copy kuwa unastahili hivi vifurushi. Kwa kifupi bure aghaliMimi niliweka hizo vocha lakini ikagoma, niliwapigia tigo wakanaambia nitume neno bure kwenda 15166 ili nipatiwe hizo MB.
Wakanambia hiyo line nihamikishe ni line namba moja kwenye simu niliyonunua tigo shop.
Nilibaki na majonzi sanaa maana nlikuwa napata GB 12 kila mwezi.