Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wewe umeunganishwa na Tapeli, ukweli vifurushi vinakaa mwaka Mmoja bila chenga.
Hata vile vya Free Call vilikuwa vinakaa mwaka sema havikuwa official Kama hivi vya Internet. Mwezi huu Tu vimepiga chenga ila Tigo wenyewe wametuma message.
screenshot_2022-07-08-12-02-22-594_com-google-android-apps-messaging-jpg.2284316
Yaaap ni kweli ata mimi txt wmenitumia
 
Hii iko kwenye ttcl nenda kwenye menu yao tafuta bufee unajiunga mwenyewe tu tena utakuta hiyo GB 15 haizidi elfu 23 ni wewe kubalance mwenyewe na ni mwaka mzima
mbn ipo tofauti sana na bufee mzee
 
Nahis kuna maeneo ukikaa vinakubali kwa mfano kuna sehem moja kuna chuo cha maafisa wa polisi ukijiunga kule inakibali
 
Back
Top Bottom