Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

kuweni makini na hawa wa vifurushi vya mwaka sjui miaka miwili ukweli ni kwamba utaunganishwa kifurusi ikifika mwezi au week 3 hakuna kitu hela yako inakuwa imekwenda hivyo msiseme hamkushtulkwa mie nmelizwa tayar
Wewe umeunganishwa na Tapeli, ukweli vifurushi vinakaa mwaka Mmoja bila chenga.
Hata vile vya Free Call vilikuwa vinakaa mwaka sema havikuwa official Kama hivi vya Internet. Mwezi huu Tu vimepiga chenga ila Tigo wenyewe wametuma message.
screenshot_2022-07-08-12-02-22-594_com-google-android-apps-messaging-jpg.2284316
 
Hivi mkuu hapa wanamaanisha nini?
Nimetumia sms kama hii
Na nilikua napata gb6 kila mwez kwa sku 14. ila naona mwez huu hakuna kitu

Inabid ufanyaje hapo?
Kanye2016
 
Hivi mkuu hapa wanamaanisha nini?
Nimetumia sms kama hii
Na nilikua napata gb6 kila mwez kwa sku 14. ila naona mwez huu hakuna kitu

Inabid ufanyaje hapo?
Hapo Unaweka vocha ya kukwangua ya sh 2000 siku moja kabla ya kifurushi chako. Kitaungwa automatically.
 
Gb15 Bei 25,000/=
Gb35 Bei 40,000/=
Gb55 Bei 60,000/=
Gb75 Bei 70,000/=
Gb100 Bei 90,000/=
Gb150 Bei 110,000/=
Gb 200 Bei 130,000/=
Gb 300 Bei 210,000/=
Gb 500 Bei 260,000/=
Gb1000 Bei 360,000/=
Hivi vifurushi ni Kwa mtandao gani?!

Je kuna ambae ameshaunga alete evidence maana ela ngumu jmn kupigwa 360k usawa huu so poa
 
Gb15 Bei 25,000/=
Gb35 Bei 40,000/=
Gb55 Bei 60,000/=
Gb75 Bei 70,000/=
Gb100 Bei 90,000/=
Gb150 Bei 110,000/=
Gb 200 Bei 130,000/=
Gb 300 Bei 210,000/=
Gb 500 Bei 260,000/=
Gb1000 Bei 360,000/=
Kwa siku au kwa mwezi unapangiwa kutumia gb ngap katika kifurushi ulichounga?
 
Hivi vifurushi ni Kwa mtandao gani?!

Je kuna ambae ameshaunga alete evidence maana ela ngumu jmn kupigwa 360k usawa huu so poa
Hii iko kwenye ttcl nenda kwenye menu yao tafuta bufee unajiunga mwenyewe tu tena utakuta hiyo GB 15 haizidi elfu 23 ni wewe kubalance mwenyewe na ni mwaka mzima
 
Hii iko kwenye ttcl nenda kwenye menu yao tafuta bufee unajiunga mwenyewe tu tena utakuta hiyo GB 15 haizidi elfu 23 ni wewe kubalance mwenyewe na ni mwaka mzima
Bufee na hizi ni tofauti tena Acha kumdanganya. Hicho cha GB 15 plus SMS 1000 na dakika 1000 ni 34,500 Ila Sisi tunauza Kwa 20,000 Tu.
Na kile cha GB 1000 tena bila dakika wala sms, kwenye bufee kinasoma bei ni 1,500,000 wakati Sisi tunaviuza Kwa 360,000.
Ajaribu mwenyewe ajionee kwenye menu, Mimi nimemsaidia Ku screenshot hapo chini yeyote ajionee.
IMG_20220708_183151.jpg


IMG_20220708_183219.jpg
 
Natamani sana kujiunga na hivi vifurushi vya TTCL , tatizo ninapoishi mtandao wa TTCL unazingua sana network huwa najiuliza sehemu gani ya DAR hii kuna network strong ya TTCL niwe naendaga hapo na laptop yangu kwenye kihotel, mgahawa wa karibu na hapo niwe nadownload siku nzima maana nina video za kudownload kama terabyte hivi
 
Back
Top Bottom