Kanye2016
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,904
- 3,006
Kuna mm na kuna donluccheseNani anatoa huduma ya kuunga hivi vifurushi mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mm na kuna donluccheseNani anatoa huduma ya kuunga hivi vifurushi mkuu?
Wewe umeunganishwa na Tapeli, ukweli vifurushi vinakaa mwaka Mmoja bila chenga.kuweni makini na hawa wa vifurushi vya mwaka sjui miaka miwili ukweli ni kwamba utaunganishwa kifurusi ikifika mwezi au week 3 hakuna kitu hela yako inakuwa imekwenda hivyo msiseme hamkushtulkwa mie nmelizwa tayar
Hapo Unaweka vocha ya kukwangua ya sh 2000 siku moja kabla ya kifurushi chako. Kitaungwa automatically.Hivi mkuu hapa wanamaanisha nini?
Nimetumia sms kama hii
Na nilikua napata gb6 kila mwez kwa sku 14. ila naona mwez huu hakuna kitu
Inabid ufanyaje hapo?
This sounds good aiseeKama una hela cha 360k kizuri sana. Around GB 3 kwa siku unatumia kwa siku matumizi ya kawaida kinakaa mwaka mzima.
Hivi vifurushi ni Kwa mtandao gani?!Gb15 Bei 25,000/=
Gb35 Bei 40,000/=
Gb55 Bei 60,000/=
Gb75 Bei 70,000/=
Gb100 Bei 90,000/=
Gb150 Bei 110,000/=
Gb 200 Bei 130,000/=
Gb 300 Bei 210,000/=
Gb 500 Bei 260,000/=
Gb1000 Bei 360,000/=
Kwa siku au kwa mwezi unapangiwa kutumia gb ngap katika kifurushi ulichounga?Gb15 Bei 25,000/=
Gb35 Bei 40,000/=
Gb55 Bei 60,000/=
Gb75 Bei 70,000/=
Gb100 Bei 90,000/=
Gb150 Bei 110,000/=
Gb 200 Bei 130,000/=
Gb 300 Bei 210,000/=
Gb 500 Bei 260,000/=
Gb1000 Bei 360,000/=
Unatumia Kwa mwaka mpaka kiishe, havina limit hiviKwa siku au kwa mwezi unapangiwa kutumia gb ngap katika kifurushi ulichounga?
mtandao gani huu?Unatumia Kwa mwaka mpaka kiishe, havina limit hivi
TTCLmtandao gani huu?
Hii iko kwenye ttcl nenda kwenye menu yao tafuta bufee unajiunga mwenyewe tu tena utakuta hiyo GB 15 haizidi elfu 23 ni wewe kubalance mwenyewe na ni mwaka mzimaHivi vifurushi ni Kwa mtandao gani?!
Je kuna ambae ameshaunga alete evidence maana ela ngumu jmn kupigwa 360k usawa huu so poa
Bufee na hizi ni tofauti tena Acha kumdanganya. Hicho cha GB 15 plus SMS 1000 na dakika 1000 ni 34,500 Ila Sisi tunauza Kwa 20,000 Tu.Hii iko kwenye ttcl nenda kwenye menu yao tafuta bufee unajiunga mwenyewe tu tena utakuta hiyo GB 15 haizidi elfu 23 ni wewe kubalance mwenyewe na ni mwaka mzima
Kama upo Dar nikuunganishe na mshkaji mkutane, anakuunga hapo hapo na unampa hela hapo hapo.Hivi vifurushi ni Kwa mtandao gani?!
Je kuna ambae ameshaunga alete evidence maana ela ngumu jmn kupigwa 360k usawa huu so poa
Vya tigo gb 6 vipo mkuu?Kama upo Dar nikuunganishe na mshkaji mkutane, anakuunga hapo hapo na unampa hela hapo hapo.
Fiber ni mpaka uwe covered, nyaya zao ziwe zimepita eneo lako.copy & pestView attachment 2284716
Utaratibu upoje wa kuungwaTTCL hatukati bando lako tumia mpaka umalize mwenyewe. hamna kikomo cha Muda
Gb15 kwa 20k
Gb30 kwa 30k
Gb50 kwa 50k
Gb70 kwa 60k
Gb90 kwa 80k
Gb120 kwa 90k
Gb150 kwa 100k
( Kila ofa ina dakika 700 za mitandao yote na SMS 1000 kwa mwaka1)
Natamani sana kujiunga na hivi vifurushi vya TTCL , tatizo ninapoishi mtandao wa TTCL unazingua sana network huwa najiuliza sehemu gani ya DAR hii kuna network strong ya TTCL niwe naendaga hapo na laptop yangu kwenye kihotel, mgahawa wa karibu na hapo niwe nadownload siku nzima maana nina video za kudownload kama terabyte hiviTTCL