Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

TTCL hatukati bando lako tumia mpaka umalize mwenyewe. hamna kikomo cha Muda

Gb15 kwa 20k
Gb30 kwa 30k
Gb50 kwa 50k
Gb70 kwa 60k
Gb90 kwa 80k
Gb120 kwa 90k
Gb150 kwa 100k
( Kila ofa ina dakika 700 za mitandao yote na SMS 1000 kwa mwaka1)
aaaaaah hii mpka umalize kmbu mzee ?
 
Gb15 Bei 25,000/=
Gb35 Bei 40,000/=
Gb55 Bei 60,000/=
Gb75 Bei 70,000/=
Gb100 Bei 90,000/=
Gb150 Bei 110,000/=
Gb 200 Bei 130,000/=
Gb 300 Bei 210,000/=
Gb 500 Bei 260,000/=
Gb1000 Bei 360,000/=
Kama una hela cha 360k kizuri sana. Around GB 3 kwa siku unatumia kwa siku matumizi ya kawaida kinakaa mwaka mzima.
 
Gb15 Bei 25,000/=
Gb35 Bei 40,000/=
Gb55 Bei 60,000/=
Gb75 Bei 70,000/=
Gb100 Bei 90,000/=
Gb150 Bei 110,000/=
Gb 200 Bei 130,000/=
Gb 300 Bei 210,000/=
Gb 500 Bei 260,000/=
Gb1000 Bei 360,000/=
Vinadumu kwa muda gani?
 
kuweni makini na hawa wa vifurushi vya mwaka sjui miaka miwili ukweli ni kwamba utaunganishwa kifurusi ikifika mwezi au week 3 hakuna kitu hela yako inakuwa imekwenda hivyo msiseme hamkushtulkwa mie nmelizwa tayar
 
Changu toka mwaka jana mpaka mwezi huu napokea kila tarehe 11 gb zangu 6.
 
kuweni makini na hawa wa vifurushi vya mwaka sjui miaka miwili ukweli ni kwamba utaunganishwa kifurusi ikifika mwezi au week 3 hakuna kitu hela yako inakuwa imekwenda hivyo msiseme hamkushtulkwa mie nmelizwa tayar

Huyu jamaa wa kuitwa mr kiuno kanifanya nionekane tapeli...masela wangu niliwashawishi wakalipia baada ya wiki kadhaa tukapigwa pini...jamaa wananikazia hadi sio vizuri
 
Jamaaa mbna yukogo vzuri tu ilikuwaje sasa
Tatizo sio Mr kiuno, wanaounga vifurushi wapo wengi nchi nzima. Sema Tigo wenyewe walipiga Pini Kama walivyopiga Pini free Calls.

Na ni watu wote hata wale walionunua simu Tigo Shop wakapewa free GB nao wameathirika. Cha umuhimu kabla bando lako halijafika nunua vocha za kukwangua ya 2000 halafu usikilizie, litaingia Automatically, Otherwise usubiri mwezi unaofata.
 
aaaah ok
 
Huyu jamaa wa kuitwa mr kiuno kanifanya nionekane tapeli...masela wangu niliwashawishi wakalipia baada ya wiki kadhaa tukapigwa pini...jamaa wananikazia hadi sio vizuri

Mr kiuno mimi aliniungaga cha mwezi Vodacom nikakitumia fresh mpaka kikaisha nilipotaka tena akawa hana.

Mi nadhani hao wanao waambie tu ukweli wajue haya mambo ni illegally kuanzia anayekupa mpaka unaepokea na wote tunajua rahisi gharama so hiyo ni ajali kazini tusameheane.
 
Gb15 Bei 25,000/=
Gb35 Bei 40,000/=
Gb55 Bei 60,000/=
Gb75 Bei 70,000/=
Gb100 Bei 90,000/=
Gb150 Bei 110,000/=
Gb 200 Bei 130,000/=
Gb 300 Bei 210,000/=
Gb 500 Bei 260,000/=
Gb1000 Bei 360,000/=
Nani anatoa huduma ya kuunga hivi vifurushi mkuu?
 
Back
Top Bottom