donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Nipo mkushcjui ata kapotelea wap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo mkushcjui ata kapotelea wap
Cha msimbazi ndgu yngu hamna ?Nipo mkush
aaaaaah hii mpka umalize kmbu mzee ?TTCL hatukati bando lako tumia mpaka umalize mwenyewe. hamna kikomo cha Muda
Gb15 kwa 20k
Gb30 kwa 30k
Gb50 kwa 50k
Gb70 kwa 60k
Gb90 kwa 80k
Gb120 kwa 90k
Gb150 kwa 100k
( Kila ofa ina dakika 700 za mitandao yote na SMS 1000 kwa mwaka1)
Pesa ngapiNi mwendo wa vifurushi vya TTCL Tu. Nishachukua GB zangu 150 naserereka Tu hapa
akikujbu nitagPesa ngapi
Pesa ngapi
akikujbu nitag
Kama una hela cha 360k kizuri sana. Around GB 3 kwa siku unatumia kwa siku matumizi ya kawaida kinakaa mwaka mzima.Gb15 Bei 25,000/=
Gb35 Bei 40,000/=
Gb55 Bei 60,000/=
Gb75 Bei 70,000/=
Gb100 Bei 90,000/=
Gb150 Bei 110,000/=
Gb 200 Bei 130,000/=
Gb 300 Bei 210,000/=
Gb 500 Bei 260,000/=
Gb1000 Bei 360,000/=
Vinadumu kwa muda gani?Gb15 Bei 25,000/=
Gb35 Bei 40,000/=
Gb55 Bei 60,000/=
Gb75 Bei 70,000/=
Gb100 Bei 90,000/=
Gb150 Bei 110,000/=
Gb 200 Bei 130,000/=
Gb 300 Bei 210,000/=
Gb 500 Bei 260,000/=
Gb1000 Bei 360,000/=
Mwaka mzimaVinadumu kwa muda gani?
Maelezo kidogoKama una hela cha 360k kizuri sana. Around GB 3 kwa siku unatumia kwa siku matumizi ya kawaida kinakaa mwaka mzima.
Kuna vifurushi mkuu vimetumwa hapo juu 360,000 unapata GB 1000Maelezo kidogo
Changu toka mwaka jana mpaka mwezi huu napokea kila tarehe 11 gb zangu 6.kuweni makini na hawa wa vifurushi vya mwaka sjui miaka miwili ukweli ni kwamba utaunganishwa kifurusi ikifika mwezi au week 3 hakuna kitu hela yako inakuwa imekwenda hivyo msiseme hamkushtulkwa mie nmelizwa tayar
kuweni makini na hawa wa vifurushi vya mwaka sjui miaka miwili ukweli ni kwamba utaunganishwa kifurusi ikifika mwezi au week 3 hakuna kitu hela yako inakuwa imekwenda hivyo msiseme hamkushtulkwa mie nmelizwa tayar
Jamaaa mbna yukogo vzuri tu ilikuwaje sasaHuyu jamaa wa kuitwa mr kiuno kanifanya nionekane tapeli...masela wangu niliwashawishi wakalipia baada ya wiki kadhaa tukapigwa pini...jamaa wananikazia hadi sio vizuri
Tatizo sio Mr kiuno, wanaounga vifurushi wapo wengi nchi nzima. Sema Tigo wenyewe walipiga Pini Kama walivyopiga Pini free Calls.Jamaaa mbna yukogo vzuri tu ilikuwaje sasa
aaaah okTatizo sio Mr kiuno, wanaounga vifurushi wapo wengi nchi nzima. Sema Tigo wenyewe walipiga Pini Kama walivyopiga Pini free Calls.
Na ni watu wote hata wale walionunua simu Tigo Shop wakapewa free GB nao wameathirika. Cha umuhimu kabla bando lako halijafika nunua vocha za kukwangua ya 2000 halafu usikilizie, litaingia Automatically, Otherwise usubiri mwezi unaofata.
Huyu jamaa wa kuitwa mr kiuno kanifanya nionekane tapeli...masela wangu niliwashawishi wakalipia baada ya wiki kadhaa tukapigwa pini...jamaa wananikazia hadi sio vizuri
Nani anatoa huduma ya kuunga hivi vifurushi mkuu?Gb15 Bei 25,000/=
Gb35 Bei 40,000/=
Gb55 Bei 60,000/=
Gb75 Bei 70,000/=
Gb100 Bei 90,000/=
Gb150 Bei 110,000/=
Gb 200 Bei 130,000/=
Gb 300 Bei 210,000/=
Gb 500 Bei 260,000/=
Gb1000 Bei 360,000/=