Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Gb15 Bei 25,000/=
Gb35 Bei 40,000/=
Gb55 Bei 60,000/=
Gb75 Bei 70,000/=
Gb100 Bei 90,000/=
Gb150 Bei 110,000/=
Gb 200 Bei 130,000/=
Gb 300 Bei 210,000/=
Gb 500 Bei 260,000/=
Gb1000 Bei 360,000/=
Izi gb buku ndo kaz kaz
 
Hii inemekahsje wadau
20220718_203207.jpg
 
Ukiwa tayari unatuma hela au unaonana na mchizi ukiwa na hela mkononi, unachagua kifurushi then kwenye laini yako ya TTCL Unaweka TSH 500 au 1000 ( Yani T-pesa). Kuna message itakuja ya Ku activate. inakuwa tayari bando lishaingia Kwa mwaka mzima.
Nipe namba ya huyo mwana pm

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Ndio mkuu, maana waliniambia Cost za Nje zote ni juu yao, sisi tutalipa tu Cost za ndani ya Nyumba.

Poa, kuna jamaa yangu ni meneja pale ngoja nimuulize kama hiyo huduma imesogea hadi mitaa yetu...

Kwenye upande wa internet, FTTX ndio habari imeshamiri kwa sasa, muda si mrefu Voda watakuja nao na hii huduma, ipo kwenye pipeline sasa...
 
Yap inabidi wabadilike, la sivyo wataachwa. Wifi zikiwa nyingi majumbani na maofisini mobile data itakua luxury tu.
 
Hizo Mbps zinamaanisha nini
Hio ni speed ya internet kama ilvo kbps mkuu sa mbps ni speed kubwa zaid ya kbps
Take 1mbps ni sawa na 1015kbps sa chukulia
20mbps ukatumia kuidownlod file la 1GB Yani ni sekunde 15 tu tayar
 
Back
Top Bottom