Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

20mbps ni speed ya internet ambayo unapata 2.5 MB per sec na 30mbps ni speed ya internet ambayo unapata 4MB per sec mkuu
Wanacalculate vip mkuu
Mbps = Megabits kwa sekunde
MBps = Megabytes per second

Kubadili megabits ziwe megabytes unazidisha x 0.125

20 Mbps x 0125 = MB 2.5 kwa sekunde
30 Mbps x 0125 = MB 3.75 kwa sekunde
 
Ok. Mimi nililazimika kujaza fomu na kuweka sahihi yangu. Pia ndicho walichonielekeza tiGO customer care baada ya kuwapigia simu kwamba ni LAZIMA nifike ofisini kujaza mkataba.
 
Ok. Mimi nililazimika kujaza fomu na kuweka sahihi yangu. Pia ndicho walichonielekeza tiGO customer care baada ya kuwapigia simu kwamba ni LAZIMA nifike ofisini kujaza mkataba.
Kam ni kwel watakuwa na offer nzur sana
 
Mbps = Megabits kwa sekunde
MBps = Megabytes per second

Kubadili megabits ziwe megabytes unazidisha x 0.125

20 Mbps x 0125 = MB 2.5 kwa sekunde
30 Mbps x 0125 = MB 3.75 kwa sekunde
Exactly boss wang
 
Emu ngojeni kwanza. Hivi halotel fb ya bure na mtelezo freebasics wameshaizima hiyo huduma kwa wateja wao sio
 
Insta naonaga waungaji wa vifurushi n wengii ivi kuna wanaounga kwel au janja janja,, au kama kuna mtu anaunga kifurushi asee ivi vya mwigulu na mama ake vtatuua[emoji119][emoji23]
Naunga internet from Voda Post paid Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…