Vera ginger
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 1,458
- 1,887
Ilikuwa phsophon na thunder,lkn sasa kama siku ya 5 hazikubali kbsWale wa vpn halotel naombeni ujanja
Sawa.Ilikuwa phsophon na thunder,lkn sasa kama siku ya 5 hazikubali kbs
Sawa.
YesUpo dsm??
Hii ni thread ya vifurushi ambavyo sio rasmi kama vya chuo au vifurushi maalum ambavyo vinatoa kiasi kikubwa cha internet, nitalist vifurushi ninavyovifahamu kama kuna wanaojua vyengine watasaidia
Tigo
Kwa Tigo bonyeza *147*00# kisha chagua size yako, unaweza kupata vifurushi vizuri, Ila njia hii sio reliable kwani vifurushi hivyo hubadilika kila Mara.
Vodacom
Vodacom angalia kwenye ya kwako tu, piga *149*03# kuangalia ofa.
Airtel
-Vifurushi vya chuo
Hawa jamaa wana vifurushi vizuri zaidi vya chuo hasa cha usiku ambacho unapata 10gb kwa sh 600, pia kipo cha kawaida unapata 2gb kwa 1000 na 1.2gb kwa sh600. Kuvipata unahitaji kununua vocha za chuo zinazopatikana vyuoni au kutumia airtel money *150*60# kisha uchague ofa kabambe nafkiri option ya 6.
Halotel
-Royal bundles pengine kifurushi kizuri zaidi kwa Sasa kinakupa dakika takriban 200 na Internet unlimited kwa 0.5mbps kwa mwezi mzima. Ni vyema kwenda ofisi za Halotel na kununua line ya Royal bundle, pia unaweza kukuunga kwa kubonyeza menu yao ya *148*66#
-Mega bundle kwa shilingi 10,000 Unapata GB 15 ambazo unatumia mb 500 kila siku kwa mwezi, kujiunga ni *150*88#, unakiunga na salio la halopesa.
-Kifurushi Cha usiku kwa 1000 unapata Internet unlimited, kizuri kwa ajili ya kudownload files kubwa Kama games na movies. Kujiunga *148*66# kisha vifurushi maalum (ya kwako tu)
vifurushi vya 4G kuendana na line zao mpya za 4G,
1000 unapata GB 1 kwa siku
5000 unapata GB 7 kwa wiki
10,000 unapata GB 10 kwa mwezi.
TTCL
-bandika bandua ni vifurushi vizuri kwa matumizi makubwa Kama kuangalia Netflix, zipo option Kama
-1000 GB 4 kwa siku (Mb 500 mchana 3.5GB usiku)
-2500 GB 10 kwa siku
-5000 GB 8 kwa wiki (3gb mchana na 5GB usiku)
Uzuri wake ni kwamba GB za usiku zinaanza saa 2 usiku muda mzuri ambao watu wanaangalia movies baada ya kutoka makazini.
-Toboa Night navyo ni vifurushi vizuri vya usiku in case Halotel kwako inasumbua ama Haina speed, kwa 500 unapata GB 2 na 1000 unapata GB 10.
Vyote toboa na bandika bandua unajiunga kwa kubonyeza *148*30# kisha TTCL bundles.
-Ofa maalum, pia TTCL Wana ofa mbalimbali Kama vile za sabasaba, nanenane etc ambazo wanazieka kwenye option ya vifurushi maalum,

Kwa nin nihame AIRTEL...[emoji780]hatupimi bando for SURE
uzi wa 2017,Airtel hawana vifurushi kama hivyoView attachment 2376373
Hapana ndugu...nipe maujanja.Ulifanikiwa
Mimi nina swali. Hivi kuna vendor yeyote amehost 5G hapa TZ?VODACOM INTERNET (5G) SUPAKASI
PRICE PER MONTH
[emoji117]30Mbps-[120,000]-Unilimited bundle speed ya 5G
[emoji117]50mbps>[150,000]Unilimited bundle speed ya 5G
[emoji117]100Mbps>[250,000]unlimited bundle speed ya 5G
[emoji117]200Mbps>[400,000]Unlimited bundle speed ya 5G
[emoji117]350Mbps[600,000]Unlimited bundle speed ya 5G
For more information kindly check me DM or call 0744355811
It's 5G FWA (fixed wireless access) sahau LTE TDD ( antennaView attachment 2375310
Mkuu me nlipiga hiyo namba ulioweka hapo juu,tangu tarehe30 mpaka leo sijapata na nlipitia hatua zote alizonipa huyo dada,
Bora mmeanza kuleta feedback.Mkuu me nlipiga hiyo namba ulioweka hapo juu,tangu tarehe30 mpaka leo sijapata na nlipitia hatua zote alizonipa huyo dada,
Nimehesabu kama nimedondosha tu hiyo 27K.
Mi naona huu uzi ufutwe tu matapeli ni wengiMkuu me nlipiga hiyo namba ulioweka hapo juu,tangu tarehe30 mpaka leo sijapata na nlipitia hatua zote alizonipa huyo dada,
Nimehesabu kama nimedondosha tu hiyo 27K.
Small companies sidhan boss wanguMimi nina swali. Hivi kuna vendor yeyote amehost 5G hapa TZ?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kuna shda kdg nliongea nae wanadai Kuna shda kdg soon watakuja stable mkuuMkuu me nlipiga hiyo namba ulioweka hapo juu,tangu tarehe30 mpaka leo sijapata na nlipitia hatua zote alizonipa huyo dada,
Nimehesabu kama nimedondosha tu hiyo 27K.
mnajificha mpaka mtu aje kulalamika hapa mnatoka kusikojulikanaKuna shda kdg nliongea nae wanadai Kuna shda kdg soon watakuja stable mkuu
Umeibiwa nn mkuumnajificha mpaka mtu aje kulalamika hapa mnatoka kusikojulikana
Toeni tamko huduma inasumbua kuna harufu ya wizi
Mi naona huu uzi ufutwe tu matapeli ni wengi
Humu kila mtu anamachungu yake ya kimy kimya
Bora mtu uende vodashop na tigoshop ukapambane nao physically hata kama utatoa hela nyingi lakini huduma utapata.
NB: Humu ndani ni matapeli kueni makini
Nyie haunga vifurushi ipo siku yenu mnakula majasho ya watu
mfano nikienda tigo shop Gb 15 wanaweza kunipa kwa shingapi..Soma lengo la kuanzishwa kwa uzi badala ya kukurupuka kutaka ufutwe,uzi huu una madini mengi,kutapeliwa ni akili yako tu ukitaka kutapeliwa unatapeliwa. Watu wameshaelekezwa kwenda ofisi za mitandao husika kupata vifurushi nafuu ila bado tu wanaona uvivu na kutafuta shortcut.
Mkuu kama una ugomvi na muanzisha uzi nenda kamalizane nae PM na sio kuleta husda hadharani
#ikikuumamezawembe
#Povuruksa