Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hii ni thread ya vifurushi ambavyo sio rasmi kama vya chuo au vifurushi maalum ambavyo vinatoa kiasi kikubwa cha internet, nitalist vifurushi ninavyovifahamu kama kuna wanaojua vyengine watasaidia

Tigo
Kwa Tigo bonyeza *147*00# kisha chagua size yako, unaweza kupata vifurushi vizuri, Ila njia hii sio reliable kwani vifurushi hivyo hubadilika kila Mara.

Vodacom
Vodacom angalia kwenye ya kwako tu, piga *149*03# kuangalia ofa.

Airtel
-Vifurushi vya chuo
Hawa jamaa wana vifurushi vizuri zaidi vya chuo hasa cha usiku ambacho unapata 10gb kwa sh 600, pia kipo cha kawaida unapata 2gb kwa 1000 na 1.2gb kwa sh600. Kuvipata unahitaji kununua vocha za chuo zinazopatikana vyuoni au kutumia airtel money *150*60# kisha uchague ofa kabambe nafkiri option ya 6.

Halotel
-Royal bundles pengine kifurushi kizuri zaidi kwa Sasa kinakupa dakika takriban 200 na Internet unlimited kwa 0.5mbps kwa mwezi mzima. Ni vyema kwenda ofisi za Halotel na kununua line ya Royal bundle, pia unaweza kukuunga kwa kubonyeza menu yao ya *148*66#

-Mega bundle kwa shilingi 10,000 Unapata GB 15 ambazo unatumia mb 500 kila siku kwa mwezi, kujiunga ni *150*88#, unakiunga na salio la halopesa.

-Kifurushi Cha usiku kwa 1000 unapata Internet unlimited, kizuri kwa ajili ya kudownload files kubwa Kama games na movies. Kujiunga *148*66# kisha vifurushi maalum (ya kwako tu)

vifurushi vya 4G kuendana na line zao mpya za 4G,
1000 unapata GB 1 kwa siku
5000 unapata GB 7 kwa wiki
10,000 unapata GB 10 kwa mwezi.

TTCL
-bandika bandua ni vifurushi vizuri kwa matumizi makubwa Kama kuangalia Netflix, zipo option Kama
-1000 GB 4 kwa siku (Mb 500 mchana 3.5GB usiku)
-2500 GB 10 kwa siku
-5000 GB 8 kwa wiki (3gb mchana na 5GB usiku)
Uzuri wake ni kwamba GB za usiku zinaanza saa 2 usiku muda mzuri ambao watu wanaangalia movies baada ya kutoka makazini.

-Toboa Night navyo ni vifurushi vizuri vya usiku in case Halotel kwako inasumbua ama Haina speed, kwa 500 unapata GB 2 na 1000 unapata GB 10.

Vyote toboa na bandika bandua unajiunga kwa kubonyeza *148*30# kisha TTCL bundles.

-Ofa maalum, pia TTCL Wana ofa mbalimbali Kama vile za sabasaba, nanenane etc ambazo wanazieka kwenye option ya vifurushi maalum,

Airtel hawana vifurushi kama hivyo
IMG_1383.png
 
VODACOM INTERNET (5G) SUPAKASI

PRICE PER MONTH

[emoji117]30Mbps-[120,000]-Unilimited bundle speed ya 5G
[emoji117]50mbps>[150,000]Unilimited bundle speed ya 5G
[emoji117]100Mbps>[250,000]unlimited bundle speed ya 5G
[emoji117]200Mbps>[400,000]Unlimited bundle speed ya 5G
[emoji117]350Mbps[600,000]Unlimited bundle speed ya 5G

For more information kindly check me DM or call 0744355811

It's 5G FWA (fixed wireless access) sahau LTE TDD ( antennaView attachment 2375310
Mimi nina swali. Hivi kuna vendor yeyote amehost 5G hapa TZ?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ttcl Adsl kuanzia Ubungo Mataa kuelekea Kimara, Mbezi Mwisho nk haipo, wanadai raia walishaharibu miundombinu.

Ttcl fiber kwenye maeneo hayo wanasema wanamsubiri mzabuni alete vifaa ndio wataanza kuwafungia waliofanya maombi tayari.

Wanachofanya kwa sasa ukienda unajaza form yao, kisha unasubiri mafundi wanaofanya survey ya kila Jmos na Jpili.

NB: Kama ttcl wameshindwa kucover fiber Dar tuu, kimkoa kidogo namna hii, sijui huko mikoani watakuja wafikiwe lini.

IMG_20220929_154504.jpg
 
Mkuu me nlipiga hiyo namba ulioweka hapo juu,tangu tarehe30 mpaka leo sijapata na nlipitia hatua zote alizonipa huyo dada,

Nimehesabu kama nimedondosha tu hiyo 27K.
Bora mmeanza kuleta feedback.
 
Mkuu me nlipiga hiyo namba ulioweka hapo juu,tangu tarehe30 mpaka leo sijapata na nlipitia hatua zote alizonipa huyo dada,

Nimehesabu kama nimedondosha tu hiyo 27K.
Mi naona huu uzi ufutwe tu matapeli ni wengi
Humu kila mtu anamachungu yake ya kimy kimya
Bora mtu uende vodashop na tigoshop ukapambane nao physically hata kama utatoa hela nyingi lakini huduma utapata.
NB: Humu ndani ni matapeli kueni makini
Nyie haunga vifurushi ipo siku yenu mnakula majasho ya watu
 
Kuna shda kdg nliongea nae wanadai Kuna shda kdg soon watakuja stable mkuu
 
mnajificha mpaka mtu aje kulalamika hapa mnatoka kusikojulikana
Toeni tamko huduma inasumbua kuna harufu ya wizi
 
Soma lengo la kuanzishwa kwa uzi badala ya kukurupuka kutaka ufutwe,uzi huu una madini mengi,kutapeliwa ni akili yako tu ukitaka kutapeliwa unatapeliwa. Watu wameshaelekezwa kwenda ofisi za mitandao husika kupata vifurushi nafuu ila bado tu wanaona uvivu na kutafuta shortcut.

Mkuu kama una ugomvi na muanzisha uzi nenda kamalizane nae PM na sio kuleta husda hadharani

#ikikuumamezawembe
#Povuruksa
Mi naona huu uzi ufutwe tu matapeli ni wengi
Humu kila mtu anamachungu yake ya kimy kimya
Bora mtu uende vodashop na tigoshop ukapambane nao physically hata kama utatoa hela nyingi lakini huduma utapata.
NB: Humu ndani ni matapeli kueni makini
Nyie haunga vifurushi ipo siku yenu mnakula majasho ya watu
 
Soma lengo la kuanzishwa kwa uzi badala ya kukurupuka kutaka ufutwe,uzi huu una madini mengi,kutapeliwa ni akili yako tu ukitaka kutapeliwa unatapeliwa. Watu wameshaelekezwa kwenda ofisi za mitandao husika kupata vifurushi nafuu ila bado tu wanaona uvivu na kutafuta shortcut.

Mkuu kama una ugomvi na muanzisha uzi nenda kamalizane nae PM na sio kuleta husda hadharani

#ikikuumamezawembe
#Povuruksa
mfano nikienda tigo shop Gb 15 wanaweza kunipa kwa shingapi..
 
Back
Top Bottom