Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu


Nilikutana nao site mafundi wanapeleka fiber kwenye ofisi za nida huku morogoro nikawahuliza kuhusu kupeleka fiber majumbani wakasema iyo huduma bado kwa sasa
 
TIGO business pack
Nawaletea karbu apa unlimited bundle za tigo sio lazima uende tigo shop tunakuosogelea karibu kabisa

Kindly check me through

+255717562220View attachment 2371640
Tigo hawawezi kutengeneza graphics za hivi. Hata alignment tu imewashinda. Yan kichwa cha habari tu ni picha transparent.😂😂
 
Niliungwa ndio nikalipa,hata mwezi hujakata huduma ikakoma.
 
Kuna Menu ya Ttcl ya kupata vifurushi nafuu tofauti na menu kuu anayejua naomba anipe maana nilipata humu na ilisaidia sasa nimeisahau..
 
Wakuu, mtandao gani una intaneti ya wiki ya 1.5GB kwa 2,000?, hali ya vifurushi vya intaneti ni mbaya sana kwa sasa, vipo kwa ajili ya kuwakandamiza wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…