Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kama una uwezo mkuu 15000 kwa mwezi pambania postpaid Tigo GB 13.

Hii roughly ni gb 1.625 kwa 2000 sio mbaya.
hizi postpaid zinataka wenye ajira maalaum. vipi wemzangu na mimi wenye kazi za kuungaunga?.

mambo ya kwenda ofisini na kuanza kuhojiwa maswali kibao ni miyeyusho, huwezi unganishwa hivi vifurushi vya postpaid in a faster way?
 
Kama una uwezo mkuu 15000 kwa mwezi pambania postpaid Tigo GB 13.

Hii roughly ni gb 1.625 kwa 2000 sio mbaya.
Kwan kaka hii huduma ya postpaid ipo maana niliona mtu ka-comment kama imefungwa baada ya deadline, kwan bado inaendelea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…