Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Soma nilichokiandikaBure vipi tupe madini mkuu chap tufanikishe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma nilichokiandikaBure vipi tupe madini mkuu chap tufanikishe.
Inaua coz betry inaisha harakaNasikia Vpn zinaua betri kuna ukweli ?
Kweli hata mimi naona kwa namna fulani simu yangu imeathirika..Inaua coz betry inaisha haraka
Na inabidi uchaji mara kwa mara
Joto ndo linaua battery, mi nishawahi ua battery jipya within a week na your freedom.Kweli hata mimi naona kwa namna fulani simu yangu imeathirika..
Wewe ndio usome ulichokiandika maana umesema "Airtel bure washa data uone" bila ufafanuzi wowote na nimejaribu kuwasha data hola.Soma nilichokiandika
Sio kwamba utumie ya jamaa aliesema stark tafuta mtandao unaoshikaWewe ndio usome ulichokiandika maana umesema "Airtel bure washa data uone" bila ufafanuzi wowote na nimejaribu kuwasha data hola.
Simu yangu betri ni 4030Ahm ina mwaka sasa miezi miwili au mitatu ya karibuni nachaji kwa siku mara mbili zamani ilikuwa inakaa hata siku mbili na nusu ukishinda sana 1 au masaaa 20.Kwa uchunguzi wangu naona imechangiwa na sababu zifuatazo.Joto ndo linaua battery, mi nishawahi ua battery jipya within a week na your freedom.
Ok nilijua wameachia mtandao maana nasikia siku Moja Moja kuna masaaa wanajisahau system inaniuma watu wanalamba asali hata lisaa limoja wakiperuzi bure.Sio kwamba utumie ya jamaa aliesema stark tafuta mtandao unaoshika
Battery unabadili bila shida sema tu kupata Original inabidi uwe makini sana.Simu yangu betri ni 4030Ahm ina mwaka sasa miezi miwili au mitatu ya karibuni nachaji kwa siku mara mbili zamani ilikuwa inakaa hata siku mbili na nusu ukishinda sana 1 au masaaa 20.Kwa uchunguzi wangu naona imechangiwa na sababu zifuatazo.
1.Ilikuwa simu usiku lazima niilaze chaji hata ikibaki 40,50,60 asilimia.
2.Muda mwingi location ilikuwa On
3.Games muda mwingi na Online kuna wakati mpk simu ipo chaji asilimia kumi nacheza.
4.Vpn kipindi kabla ya kufungwa ilikuwa ndio ada yangu.
Vipi Kwa simu ambazo betri sio za kutoa Moja kwa Moja mtu unaweza mtu kubadilisha betri madukani ?maana naipenda simu yangu tatizo betri sasa hivi halina power kubwa wakati mwingine nikicheza Online gemu au nikiperuzi sana joro linapanda wakati sikuzoea hali hiyo kwa muda mwingi kipindi cha nyuma.
adriz eti maneno nusu nusu yamekuwaje eti hujaelewa wapi serereka weweeee😁😁😁😁Washa data airtel kisha serereka FREE...
sitaki maswali
Yaap zinachangiANasikia Vpn zinaua betri kuna ukweli ?
Zinafanyakazi kwa babu yako labdaVPN zipo usipotishe umma....kuna wire tun for TIGO na TTCL zinafanya kazi fresh
Pia kuna ha tunnel plus for airtel zipo fresh
sio kweli ingekua hivyo hata video tusingekuwa tunaplay.Nasikia Vpn zinaua betri kuna ukweli ?
Bora nitafute hela tu niweke Wi-fi ndani.
Kuna offa ganKaribu TTCL
Hicho sio kifurushi cha kawaida aisee😋😋😋[emoji116]View attachment 2397469
haihitaji hat file😂😂😂😂Wale wa AIRTEL. Nenda stark vpn weka setting kama unavyoona hapo.
washa data washa stark vpn kisha enjoy free data
ukija PM utalipia 500😅😅😅
View attachment 2397392