Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wewe ndio usome ulichokiandika maana umesema "Airtel bure washa data uone" bila ufafanuzi wowote na nimejaribu kuwasha data hola.
Sio kwamba utumie ya jamaa aliesema stark tafuta mtandao unaoshika
 
Joto ndo linaua battery, mi nishawahi ua battery jipya within a week na your freedom.
Simu yangu betri ni 4030Ahm ina mwaka sasa miezi miwili au mitatu ya karibuni nachaji kwa siku mara mbili zamani ilikuwa inakaa hata siku mbili na nusu ukishinda sana 1 au masaaa 20.Kwa uchunguzi wangu naona imechangiwa na sababu zifuatazo.

1.Ilikuwa simu usiku lazima niilaze chaji hata ikibaki 40,50,60 asilimia.

2.Muda mwingi location ilikuwa On

3.Games muda mwingi na Online kuna wakati mpk simu ipo chaji asilimia kumi nacheza.

4.Vpn kipindi kabla ya kufungwa ilikuwa ndio ada yangu.

Vipi Kwa simu ambazo betri sio za kutoa Moja kwa Moja mtu unaweza mtu kubadilisha betri madukani ?maana naipenda simu yangu tatizo betri sasa hivi halina power kubwa wakati mwingine nikicheza Online gemu au nikiperuzi sana joro linapanda wakati sikuzoea hali hiyo kwa muda mwingi kipindi cha nyuma.
 
Sio kwamba utumie ya jamaa aliesema stark tafuta mtandao unaoshika
Ok nilijua wameachia mtandao maana nasikia siku Moja Moja kuna masaaa wanajisahau system inaniuma watu wanalamba asali hata lisaa limoja wakiperuzi bure.
 
Battery unabadili bila shida sema tu kupata Original inabidi uwe makini sana.
 
Wale wa AIRTEL. Nenda stark vpn weka setting kama unavyoona hapo.

washa data washa stark vpn kisha enjoy free data

ukija PM utalipia 500πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
View attachment 2397392
haihitaji hat fileπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
airtel kazi wanayo..
weka setting kama unavyoona

PM hapana jamani maana zinakuja pm 99+ Per day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…