Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Soon atalizwa mtuKwahiyo wewe unapiga screenshot hadi simu.
Tuacheni tupumue basi[emoji116]View attachment 2397469
Mimi mwezi huu nilipata 30gb kw 25 ilikuwa tarehe 1 Oct. Ngoja nione kama 1 Nov watanipa tena 30gb.Hii huduma ya tigo business ipo kabisa nilienda tigo shop nikaikuta ila wamefanya update kwenye hivyo vifurushi yani ni balaa tu hamna kitu kabisa bora vya mwanzo yani wamepunguza takribani nusu ya kifurushi.
Bora niendelee kuteseka tu kawaida kuliko nipewe masharti magumu mpaka nipate huduma alafu huduma sawa na watu wengine.
😆😆😆Kupigwa nje nje , jiangalien sana vijana ,hyo Vpn ni either nayeye anakomaa na net ya bure au ndo anajilinda msije kumtafuta baada ya tukio[emoji116]View attachment 2401286
Tigo hawawezi kurudisha?, ishu vocha kwenye simu hazikai bora iwe tigopesa kwenye simu inaweza kukatwa tu bila maelezo ya kuelewekaWakuu!! Msaada nilikua nanunua muda wa maongezi tigopesa, badala ya kununua 2500 nikaweka 25000, wazeee msaada nikupe 22000 unipe 15000 plz
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hivi mimi nimesema naunga au nimetangaza biashara ? Mim nimetuma picha tuuh[emoji38][emoji38][emoji38]Kupigwa nje nje , jiangalien sana vijana ,hyo Vpn ni either nayeye anakomaa na net ya bure au ndo anajilinda msije kumtafuta baada ya tukio
Pia ushauri tu Kwa mwamba hizo shots uwe una crop content tu, hapo umeachia info nying sana kuhusu wewe na wadau watanzia hapo kukutafuta
Utapata hizohizo. Kama ulisaini mkataba wa kupata 30gb Kwa 25 bhas utaendelea kupata hivyo mpaka mkataba wako utakapoisha. Ndio maana ya mkataba.Mimi mwezi huu nilipata 30gb kw 25 ilikuwa tarehe 1 Oct. Ngoja nione kama 1 Nov watanipa tena 30gb.
Infinix zna hii feature ya kupiga had cm!.[emoji116]View attachment 2401311
Hajapasuka mtu bado??[emoji23][emoji23] Tunasubiri mrejeshoHivi mimi nimesema naunga au nimetangaza biashara ? Mim nimetuma picha tuuh
Anyway link hiyo [emoji116] hujalazimishwa kuifuata [emoji116]
Share on WhatsApp
WhatsApp Messenger: More than 2 billion people in over 180 countries use WhatsApp to stay in touch with friends and family, anytime and anywhere. WhatsApp is free and offers simple, secure, reliable messaging and calling, available on phones all over the world.wa.link
Huwa unaungwa ofisini kwao. Umenunua duka la kawaida ama la mtandao wa simu?Nimenunua kitochi kwenye maduka , naomba mnipe mwongozo nifanyeje niweze kupata dakika za bure pamoja na gb.
Nahitaji kujua hii kitu ila kila nkiomba darasa napotezewa boss.Kama una uwezo mkuu 15000 kwa mwezi pambania postpaid Tigo GB 13.
Hii roughly ni gb 1.625 kwa 2000 sio mbaya.
Mitandao yote mkuu hakuna uhafadhali, nmeweka gb 4 halotel jana nmetumia elfu 8 kuna mzigo naushusha gb 3.56 tu lkn mpk hapa napoongea nipo 24.5% tu tangu jana saa 3 usiku.Nilidhani ni kwangu tu,Speed ya Tigo siku hizi imekua ya kobe
Mzee hii c nlishaelezea kila kituNahitaji kujua hii kitu ila kila nkiomba darasa napotezewa boss.
Nimenunua duka la kawaida na nimewafuata kwenye mitandao yakijamii kupitia Facebook na nimefanikiwa kujiunga ..Huwa unaungwa ofisini kwao. Umenunua duka la kawaida ama la mtandao wa simu?
mtandao gani huu mbona hii ni afadhaliJamani Okoeni jahazi haya Mabundle Yatatuua. nimetoka kwenye free WIFI nipo Pembeni Nachanganyikiwa Kwenye Kujiunga na Bando kila Menu naona ya Moto. GB 1 2000 kwa wiki daaah
[emoji3][emoji3] ndo nashangaa hapa atuambie mtandao upi maana 2000 now mb 800.mtandao gani huu mbona hii ni afadhali