Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Achana na mambo ya noma sana weka utaratibu hapa tujue tunaingia au tunaliwa....
 
this guy... anataka hela kabla ya kazi
 
Mkataba ukiisha/ukisitisha mkataba unaruhusiwa ku-renew baadae?
Kwenye kusitisha sijui. Ila ukiisha (ambapo unaisha baada ya miaka 2) unaweza ku-renew lakini utakapo-renew utahusika na Bei mpya za wakati huo. Mfano Mimi mkataba wangu unaisha August 2024,so nikirenew ntapata vifurushi na Bei za wakati huo na sio za mkataba ulioisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…