Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu


Noma sana [emoji116]View attachment 2404963
Achana na mambo ya noma sana weka utaratibu hapa tujue tunaingia au tunaliwa....
 
Kuna huu mzigo unatrend sa iv ila ngoma haikubali kabisa.. tuendelee nao na sie
Screenshot_20221102-134626_Twitter.jpg
 

Noma sana [emoji116]View attachment 2404963
Screenshot_20221102-141518.png
this guy... anataka hela kabla ya kazi
 
Mkataba ukiisha/ukisitisha mkataba unaruhusiwa ku-renew baadae?
Kwenye kusitisha sijui. Ila ukiisha (ambapo unaisha baada ya miaka 2) unaweza ku-renew lakini utakapo-renew utahusika na Bei mpya za wakati huo. Mfano Mimi mkataba wangu unaisha August 2024,so nikirenew ntapata vifurushi na Bei za wakati huo na sio za mkataba ulioisha.
 
Back
Top Bottom