Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Dah...wameshanila....nafikilia kutafuta mtandao mwingine wenye ofa nzuri kwa gb...
 
hio huduma wameshaiondoa toka tarehe 1/07/2017
 
Vodacom

-3gb kwa sh 2000 au 800mb kwa sh 1000
Bonyeza *149*03# kupata hivi vifurushi, kutegemeana na line utapata kifurushi kimoja kati ya hivyo
-Vifurushi vya chuo
Kwa sh 500 utapata mb500, 1500 utapata 1gb na 2500 utapata 2gb zinazodumu wiki nzima, kujiunga piga *149*42#

shukrani kwa hili
 
Vipi kuhusu vifurushi vya SMILE navyo vipoje?
 
TTCL
kujiunga *148*30#
vifurushi vya usiku
kwa shilingi 1000 utapata gb 10 za 4g kuanIa saa 4 usiku hadi 12 asubuhi, kujiunga ni menu ile ile ya *148*30#.

Chief-Mkwawa hichi kifurushi ukiwa na device ya 3g huwezi tumia?
 
unatumia nafkiri, ila angalia speed yao kwa 3g kwanza kama inaridhisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…