Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

unachobisha nn njoo maggni pale halaf uangalie net yetu PSO ndio zetu

ndio unaweza pata hiyo internet speed ila ukishachagua softlayer kama Host ambao hawana host Tanzania hauwezi pata ping ya 4ms.
Mdau amekuonesha picha ume copy wapi pia unakaribishwa kufanya test nyingine uka prove ISP ni TTCL
 
jamani hichi cha 1 gb cha tigo kinadumu kwa muda gani?mbona hamna majibu au ndo hamna aliyetumia hata mleta post?
 
Gb 1 kipi? Cha 600? Kama ni hicho cha mia sita kishajibiwa sana kwenye post zilizopita ni cha siku moja tu.
 
ndio unaweza pata hiyo internet speed ila ukishachagua softlayer kama Host ambao hawana host Tanzania hauwezi pata ping ya 4ms.
Mdau amekuonesha picha ume copy wapi pia unakaribishwa kufanya test nyingine uka prove ISP ni TTCL
acha ukolomije na USENGEREMA kiongozi unajua nakujua xna km unavojijua ww unashupalia mambo yalopita
 
Back
Top Bottom