Black Coffee
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,931
- 3,177
Me huwa nanunua 500tsh mb200, 1000tsh mb800Voda bhana akili mingi mingi tshs 500 mb 70, 24hrs afu your offer 1000 per 800 mb
*149*03# hadi kielewe au yakwako tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me huwa nanunua 500tsh mb200, 1000tsh mb800Voda bhana akili mingi mingi tshs 500 mb 70, 24hrs afu your offer 1000 per 800 mb
voda ndo hapo huwa naikubali 3gb siku 5 na kwa speed nzuri ajabu.
unachobisha nn njoo maggni pale halaf uangalie net yetu PSO ndio zetu
22 hoursjamani hichi cha 1 gb cha tigo kinadumu kwa muda gani?mbona hamna majibu au ndo hamna aliyetumia hata mleta post?
Gb 1 kipi? Cha 600? Kama ni hicho cha mia sita kishajibiwa sana kwenye post zilizopita ni cha siku moja tu.jamani hichi cha 1 gb cha tigo kinadumu kwa muda gani?mbona hamna majibu au ndo hamna aliyetumia hata mleta post?
Gb 1 kipi? Cha 600? Kama ni hicho cha mia sita kishajibiwa sana kwenye post zilizopita ni cha siku moja tu.
Yaani ni kufumba na kufumbuajamani hichi cha 1 gb cha tigo kinadumu kwa muda gani?mbona hamna majibu au ndo hamna aliyetumia hata mleta post?
aisee basi hakina utamu atii mpk uwe na haraka ya kudawnloadYaani ni kufumba na kufumbua
kinadumu kwa saa 24 tu!jamani hichi cha 1 gb cha tigo kinadumu kwa muda gani?mbona hamna majibu au ndo hamna aliyetumia hata mleta post?
Nadhani Kuna wizi kwenye hiki kifurushiaisee basi hakina utamu atii mpk uwe na haraka ya kudawnload
acha ukolomije na USENGEREMA kiongozi unajua nakujua xna km unavojijua ww unashupalia mambo yalopitandio unaweza pata hiyo internet speed ila ukishachagua softlayer kama Host ambao hawana host Tanzania hauwezi pata ping ya 4ms.
Mdau amekuonesha picha ume copy wapi pia unakaribishwa kufanya test nyingine uka prove ISP ni TTCL
acha ukolomije na USENGEREMA kiongozi unajua nakujua xna km unavojijua ww unashupalia mambo yalopita
ah huamn ikikusumbua JAILBREAK utanitaftasina comment ya ziada kaka kwa kuwa ulini -quote imenibidi nikujibu ila kwa kuwa mtu mwenyewe ni wale wa "xna" inabidi hiyo mada tuimalize.