Inafanya kazi mkuu...
Hamna mkuu activation nilifanyiwa na mtu mwingine, nauliza ili nijue shida ipo wapi kwangu?Inafanya kazi mkuu...
Nilifanya activation mimi?
Naomba namba yako nijue tatizo nini..!(Aidha ni upande wako/airtel).
ok, mfate mwambie arudie mchakato!Hamna mkuu activation nilifanyiwa na mtu mwingine, nauliza ili nijue shida ipo wapi kwangu?
geosir asante sana kwa huduma. Sasa nitakuwa online masaa yote
View attachment 2536664View attachment 2536669
basi mchukue Gb 500 ziwatoshe😂😂😂 famasiala nnHizo gb 25 kwa matumizi ya kwenye router mkatumia watu 4 hata wiki aifiki
Kwa wenzetu gb 20 mnatumia mwezi kwenye matumizi yote na bei ni nafuu vile vile,ajabu huko internet ghali halafu unauziwa gb 2 unaambiwa gb 25!basi mchukue Gb 500 ziwatoshe😂😂😂 famasiala nn
0713491359Gb5.5 za week mbili Tgo, holler at me
Mkuu unasema inadumu kwa siku tatu yani hiyo ofa au hiko kifurushi cha GB 1 KWA bukuTIGO TIGO TIGO
Natoa OFA na HUDUMA Zifuatazo
1. OFA, Naunga Gb 1 kwa 1000 inadumu kwa siku 3. Unaungwa mara moja tu. hii ni OFA ya mara moja Tu.
Malipo Baada ya Kazi.
Piga/Whatsapp: 0710535327
2. TIGO business.
Kama inavyoonekan hapo chini..
Ni mfumo ambao unakuwa unalipia bili kila mwezi.. unachagua Aina ya kifurushi nakuingiza kwenye mfumo BUUURE!!!
Piga/Whatsapp: 0710535327
View attachment 2577064
Kifurushi kinadum kwa siku 3, hata ukitumia masaa mawili kikaisha n weww tu.. ila ni ofa ya mara moja Tu.. nikikuunga ndio imetoka..!Mkuu unasema inadumu kwa siku tatu yani hiyo ofa au hiko kifurushi cha GB 1 KWA buku
Legit deal. Thank you brotherNAWALETEA UNYAMA HUU AIRTEL SME...
View attachment 2567129
MREJESHO: kuna Jamaa kama wanne kutoka hapa jf, Nimewapa huduma, kisha wananiblock kisa Buku😂😂...TIGO TIGO TIGO
Natoa OFA na HUDUMA Zifuatazo
1. OFA, Naunga Gb 1 kwa 1000 inadumu kwa siku 3. Unaungwa mara moja tu. hii ni OFA ya mara moja Tu.
Malipo Baada ya Kazi.
Piga/Whatsapp: 0710535327
2. TIGO business.
Kama inavyoonekan hapo chini..
Ni mfumo ambao unakuwa unalipia bili kila mwezi.. unachagua Aina ya kifurushi nakuingiza kwenye mfumo BUUURE!!!
Piga/Whatsapp: 0710535327
View attachment 2577064
Better mteja alipe ndio umuunge.MREJESHO: kuna Jamaa kama wanne kutoka hapa jf, Nimewapa huduma, kisha wananiblock kisa Buku😂😂...
Yaan 1000/= mtu ananipiga block, Mnashauri nin wakuu?
zuia huduma kama uwezi utulie tu kakaMREJESHO: kuna Jamaa kama wanne kutoka hapa jf, Nimewapa huduma, kisha wananiblock kisa Buku[emoji23][emoji23]...
Yaan 1000/= mtu ananipiga block, Mnashauri nin wakuu?
WabazinguaMREJESHO: kuna Jamaa kama wanne kutoka hapa jf, Nimewapa huduma, kisha wananiblock kisa Buku😂😂...
Yaan 1000/= mtu ananipiga block, Mnashauri nin wakuu?