Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

MREJESHO: kuna Jamaa kama wanne kutoka hapa jf, Nimewapa huduma, kisha wananiblock kisa Buku😂😂...
Yaan 1000/= mtu ananipiga block, Mnashauri nin wakuu?
Noma Sana mkuu uaminifu umepungua ata kwenye kitu kidogo tu,
 
MREJESHO: kuna Jamaa kama wanne kutoka hapa jf, Nimewapa huduma, kisha wananiblock kisa Buku[emoji23][emoji23]...
Yaan 1000/= mtu ananipiga block, Mnashauri nin wakuu?
Lete huduma za Voda boss
 
MREJESHO: kuna Jamaa kama wanne kutoka hapa jf, Nimewapa huduma, kisha wananiblock kisa Buku😂😂...
Yaan 1000/= mtu ananipiga block, Mnashauri nin wakuu?
geosir Wataje waweke hapa hadharani username zao zifahamike hao makanjanja waliokosa haya..kweli ata buku moja mtu anadhulumu na block juu..Pole sana Kiongozi weka username zao hao Matapeli wafahamike
 
Iyo Chini hapo kwenye attachment si ni za SME Airtel? Au ata Tigo wanatoa GB izo izo!?
 
Nimekutext mkuu WhatsApp let me be your loyal customer,ila nipunguzie bei mkuu nichukue izo gb 15 swaumu Kali shekh
 
MREJESHO: kuna Jamaa kama wanne kutoka hapa jf, Nimewapa huduma, kisha wananiblock kisa Buku😂😂...
Yaan 1000/= mtu ananipiga block, Mnashauri nin wakuu?
Buku hili hili? Voda wanalokupa Mb 350?
Mtu anakosa uaminifu kisa buku? 😂😂😂🙌
 
Mimi natafuta ya voda, itapatikana?
 
Chief hizi GB unatakiwa kutumia kwa utaratibu upi? Ni kila siku GB kadhaa au ni wewe na matumizi yako
 
Hivi kuingia bila bando kale kauduma Bado kanapatikana?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…