Magari damu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 433
- 759
NiPM namba yako mkuuNi VPN Bando. Nakupa File la kutest linalo-expire ndani ya Lisaa limoja, ukiridhika na huduma unafanya malipo then tunaanza fanya Biashara.
mimi mmoja wapo niliungwa mpaka now naenjoi na kifurushiSawa, ngoja tusubiri shuhuda japo mmoja kwanza.
SME ipoje? Na gharama za kuunga zipojeTIGO/ZANTEL JITAFTENI WATATU MPATE HIZI BANDO ZENYE UNAFUU MNOO[emoji845]
15GB, 30GB, 48GB 72GB NA 120GB.
Bando hizi Mtakua mnazipata kwa miaka miwili mfululizo kila tarehe moja unaingiziwa, KUJIUNGA HUMTUMII MTU YEYOTE HELA,
HATAKAMA HUNA LESEN NA TIN NO, nakupa maelekezo bure unalipia moja kwa moja tigo. Huduma hii ni uhakika nikikupa maelekezo unaweza hata kupiga 100 ukaulizia.
NILETEE WATEJA NIKULIPE
( Airtel pia naunga SME)
nicheki 0717700921
Huduma ya tigo postpaid inayokupa gb kibao kila mwezi kwa miaka miwili mfululizo!
Ni wizi tu sahizi na laini lao nishatupaKwanini wanafanya ivyo?
Ni VPN Bando. Nakupa File la kutest linalo-expire ndani ya Lisaa limoja, ukiridhika na huduma unafanya malipo then tunaanza fanya Biashara.
Tayari.Ni pm namba yako nikucheki tufanye biashara
Halotel ni wezi. Hata mm nishathibitisha hilo.Halotel ni majizi unaambiwa unapewa mb 700 kumbe ni mb 650 wanapita na mb 50
Mtandao gani?Ni VPN Bando. Nakupa File la kutest linalo-expire ndani ya Lisaa limoja, ukiridhika na huduma unafanya malipo then tunaanza fanya Biashara.
TTCL.Mtandao gani?
Hiyo laini nishawahi kuitafuta mpk nikachoka. Kila ukienda unaambiwa zimeisha. Nimeshakata tamaaTTCL.
Ni adimu. Na ukiikuta utaambiwa elfu tano kusajili.Hiyo laini nishawahi kuitafuta mpk nikachoka. Kila ukienda unaambiwa zimeisha. Nimeshakata tamaa
Niliambiwa 10,000. Nikajiuliza ina nini mpk iuzwe ghari hivyo?Ni adimu. Na ukiikuta utaambiwa elfu tano kusajili.
Nishatupa hiyo takataka yao lainiHalotel ni wezi. Hata mm nishathibitisha hilo.
SME ipoje? Na gharama za kuunga zipoje
shida ya izi bando nilipie 15000 halafu iwe imeenda bure maana kila mwisho wa mwezi tena natakiwa kulipia huduma ya bando yaan mfano mimekupa 15000 umeniinga mfumo huo wa pre paid nikiumia mwisho wa mwezi tigo wanataka chao ni kama 15000 yangu imeliwa bureTIGO/ZANTEL JITAFTENI WATATU MPATE HIZI BANDO ZENYE UNAFUU MNOO[emoji845]
15GB, 30GB, 48GB 72GB NA 120GB.
Bando hizi Mtakua mnazipata kwa miaka miwili mfululizo kila tarehe moja unaingiziwa, KUJIUNGA HUMTUMII MTU YEYOTE HELA,
HATAKAMA HUNA LESEN NA TIN NO, nakupa maelekezo bure unalipia moja kwa moja tigo. Huduma hii ni uhakika nikikupa maelekezo unaweza hata kupiga 100 ukaulizia.
NILETEE WATEJA NIKULIPE
( Airtel pia naunga SME)
nicheki 0717700921
Huduma ya tigo postpaid inayokupa gb kibao kila mwezi kwa miaka miwili mfululizo!
buku kwa muda gani? siku wiki au?1 GB Halotel Kwa buku nicheki... Malipo baada ya kazi