Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #6,821
Kwa maduka bora repetear/Extender, Wifi zinataka straight line, kukishakuwa na makoro koro haitembei umbali mrefu, zile booster unazoziona huwa wanafunga juu ya Nyumba ili zionekane ndio maana wifi inatembea umbali mrefu.Wakuu nahitaji msaada kwa mwenye ujuzi na uwelewa wa hii kitu…
Nimefunga Router Ile ya WIFI Nimeifunga Dukani kwangu Nia na madhumuni Nisambazie watu ili nipige walau buku buku kwa kila mtu,Naweza conect mpk watu 60+ Kampuni ni Airter…
Sasa tatizo Haifiki umbali mrefu Yani Mwisho ni Mita 15 tu na mimi Ninahitaji kusambaza Umbali zaidi Ili wapate huduma yangu..Mana kwa mita izo 15 Nimepata watu 7 tu Ila umbali ukizidi kuna sehemu ina watu naweza pata hata watu 100…
Kuna jamaa ameniambia ninunue sijui EXTENDER ili iweze kupush umbali mwengine nae akasema ni nunue BUSTA ili nifikishe mbali zaidi japo kasema ipo ya mita 100,200,300 na kilometa 1…Mimi mgeni wa ivi vitu naogopa kupigwa…
Mwenye uelewa naomba anieleweshe…
Unaweza ukagoogle Wifi mesh ni njia nzuri ya kumaintain Signal kwenye eneo kubwa ama kama budget ndogo nunua tu repeater zile za kuchomeka kama multi plug japo sijui ufanisi wake upoje.