Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wakuu nahitaji msaada kwa mwenye ujuzi na uwelewa wa hii kitu…

Nimefunga Router Ile ya WIFI Nimeifunga Dukani kwangu Nia na madhumuni Nisambazie watu ili nipige walau buku buku kwa kila mtu,Naweza conect mpk watu 60+ Kampuni ni Airter…

Sasa tatizo Haifiki umbali mrefu Yani Mwisho ni Mita 15 tu na mimi Ninahitaji kusambaza Umbali zaidi Ili wapate huduma yangu..Mana kwa mita izo 15 Nimepata watu 7 tu Ila umbali ukizidi kuna sehemu ina watu naweza pata hata watu 100…

Kuna jamaa ameniambia ninunue sijui EXTENDER ili iweze kupush umbali mwengine nae akasema ni nunue BUSTA ili nifikishe mbali zaidi japo kasema ipo ya mita 100,200,300 na kilometa 1…Mimi mgeni wa ivi vitu naogopa kupigwa…

Mwenye uelewa naomba anieleweshe…
Kwa maduka bora repetear/Extender, Wifi zinataka straight line, kukishakuwa na makoro koro haitembei umbali mrefu, zile booster unazoziona huwa wanafunga juu ya Nyumba ili zionekane ndio maana wifi inatembea umbali mrefu.

Unaweza ukagoogle Wifi mesh ni njia nzuri ya kumaintain Signal kwenye eneo kubwa ama kama budget ndogo nunua tu repeater zile za kuchomeka kama multi plug japo sijui ufanisi wake upoje.
 
Unlimited? Nipe connection mkuu
Hapana mkuu, tunachosema hapa ni kwamba wale agents wanaounga Airtel SME ni wakali kuelezea hiyo Unlimited tunaipataje...

Kwenye menu kuna hizo options ila hawataki kutoa maelezo hizo zingine zinapatikanaje..

View attachment 2719827
 
Attachments

  • Screenshot_2023-08-09-02-35-24-422_com.android.phone-edit.jpg
    Screenshot_2023-08-09-02-35-24-422_com.android.phone-edit.jpg
    37.8 KB · Views: 21
Hapana mkuu, tunachosema hapa ni kwamba wale agents wanaounga Airtel SME ni wakali kuelezea hiyo Unlimited tunaipataje...

Kwenye menu kuna hizo options ila hawataki kutoa maelezo hizo zingine zinapatikanaje..

View attachment 2719827
Ila ukiwapa hela wanakuungia?

Kama ukiwapa hela wanaunha unlimited basi ni fresh tu cha msingi speed izingatiwe
 
Kwa maduka bora repetear/Extender, Wifi zinataka straight line, kukishakuwa na makoro koro haitembei umbali mrefu, zile booster unazoziona huwa wanafunga juu ya Nyumba ili zionekane ndio maana wifi inatembea umbali mrefu.

Unaweza ukagoogle Wifi mesh ni njia nzuri ya kumaintain Signal kwenye eneo kubwa ama kama budget ndogo nunua tu repeater zile za kuchomeka kama multi plug japo sijui ufanisi wake upoje.
Asante broo…
 
Natumia supa kasi kifurushi cha elfu 50,sim card nimeiweka kwenye router tunashare watu watatu,iko slow kimtindo
Hicho kifurushi cha 50K ndio kile unanunua vocha ya 50K halafu unapewa GB kadhaa halafu baada ya hapo zikiisha ndio unapewa unlimited yenye low spee?

Au hii yako ni huduma ya namna gani?
 
Kwa airtel ni hivi , vifurushi unavipata kwenye menyu ya *149*91# unajiunga mwenyewe kila ukihitaj. Lakini kabla ya hapo natakiwa nikuunge ndipo uvikute vifurush. Unanitumia namba yako ya airtel tu then unanitumia 14000 kwenye no 0687631387 jina herman. Baada ya hapo nakamilisha huduma . UKITAKA NIKUPE HUDUMA NDIPO ULIPE INAWEZEKANA KIKUBWA UWE MUAMINIFU!
Kwa hiyo hii nakuwa najiunga mwenyewe tu kwa mwezi sh 14000? Nieleiweshe mkuu sijakupata vyema
 
Hicho kifurushi cha 50K ndio kile unanunua vocha ya 50K halafu unapewa GB kadhaa halafu baada ya hapo zikiisha ndio unapewa unlimited yenye low spee?

Au hii yako ni huduma ya namna gani?
Ndio hiyo mkuu,50k unapata gb 26 zikiisha unakula za low speed ila low speed yake unacheck youtube na mitandao mingine unaingia ila kudownload movies tu aikubali
 
Safi sana, ushindani muhimu,
Voda wataenda kupoteza wateja wengi sana.

Kwasababu ya gharama zao kuwa juu pamoja na masharti ambayo kimsingi haya maana yeyote.

Airtel nimefanya mawasiliano nao wako simple sana yani hiyo 70K ukitoa hapo hapo unapewa Router na kuanza kutumia.

Lakini Voda wanataka utoe kwanza Security deposit ya miezi miwili ya kifurushi unachotaka kununua.

Halafu unatumia mwezi mmoja tu baada ya hapo unatakiwa ulipie tena wakati mwanzo ulitoa ya miezi miwili.

Baada ya mwaka Airtel watakuwa wamesambaa sehemu nyingi kuliko Vodacom.

Jumatatu nikiipata nitaleta hapa mrejesho
 
Voda wana Target wafanyabiashara na watu ambao wapo serious, hawa Airtel wana haki kudeal na wateja wa Kawaida kutokana na reliability yao. Coverage yao ipoje?
 
Back
Top Bottom