Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Voda wana Target wafanyabiashara na watu ambao wapo serious, hawa Airtel wana haki kudeal na wateja wa Kawaida kutokana na reliability yao. Coverage yao ipoje?
Voda ni kawaida yao kujifanya wao ni special

Hata gharama za makato ya pesa Vodacom wapo juu kuliko Airtel

Coverage ya Airtel ni sehemu yeyote kwasababu ina operate kwa njia ya Minara na Satelite

Na packages zote ni 5G yani sehemu ambayo hakuna 5G basi utaweza kutumia 4G kwa Mbps zile zile.

Lakini Voda sehemu ambayo hakuna 5G itakulazimu uchukue Router ambayo ni fixed 4G na ulipie kifurushi cha 4G
.
Lakini since hizi Router ni movable maana yake siku ukiwa sehemu yenye 5G access kwa Voda hutaweza kupata 5G network
 
Hata voda nafkiri kama hamna 5G unapata 4G.

Hio satelite sijaelewa, ni satelite gani? Low orbit kama Starlink? Ama satelite za madishi? Wanakupa Dish?
 
Hata voda nafkiri kama hamna 5G unapata 4G.

Hio satelite sijaelewa, ni satelite gani? Low orbit kama Starlink? Ama satelite za madishi? Wanakupa Dish?
Voda niliuliza wakanijibu hivyo kuwa kwa maeneo ambayo hayana 5G wanakuoa device yenye uwezo wa 4G tu

Labda kama mtoa huduma alikosea mwenyewe ila nilichojibiwa ndio hicho.

Yani satellite yao kwa nilivyoelewa haimaanishi maswala ya installation ya antenna au dish.

Ni una access tu kama ilivyo kawaida kwa mtu mwenye laini ya Airtel anapoweza kutumia internet ya 4G sehemu yeyote akiwa na bando lake.

Kwasababu hiii huduma inakuwa na line ya kawaida inayowekwa kwenye Router so ile line ndio wanaiwezesha kuwa na speed kwa maana ya Mbps ulizoingia mkataba pamoja na unlimited.
 
IJUE "SME" KUTOKA AIRTEL
Hii ni menu (*149*91#) inayokupa we nafasi kujiunga mwenyewe vifurushi vya bei rahisi zaidi kuliko mtandao wowote hapa Tanzania. Malipo ya huduma ni TSH 10,000.View attachment 2715797
Hii mbona bado ni expensive,? Wakati unapata GB 5 kwa 5000
GB 9 kwa 10,000
GB 18 kwa 15,000
GB 38 kwa 30,000
GB 66 kwa 50,000
GB 110 kwa 75,000
GB 210 kwa 100,000
Na ni vya mwezi na kuendelea adi mwaka na unaungwa bure tu kwa huo mtandao tena laini unaimliki ukitaka kujiunga mwenyewe unajiunga tuu...!

Ongeeni vizuri na watu muache kupigwa!

Anaetaka anicheki bure!
 
Uzuri wa mitandao ndiyo huu...

Hamna kificho duniani nowdays
 
Hii router yao ina coverage umbali gani mkuu? Je wanaruhusu mtu kujinunulia router mahali pengine?

View attachment 2722710
Ndio swali ambalo nimeuliza nasubiri kujibiwa

Ila kwa makadirio tu nadhani itakuwa si chini ya 100M

Lakini hii haiwezi kuwa kikwazo kwasababu kuna WiFi Extender kwa ajili ya ku bust distance
 
Oya kanijibu ni mita 100

I hope nawe umejibiwa kwasababu kanambia umemcheki
Yes nimemcheki.... Nimemuuliza utaratibu wao ukoje...

1. Kuna za office na majumbani.
2. Za ofisini haulipii router ila inabaki kuwa mali yao.
3. Za majumbani router unailipia na inakuwa mali yako.

Coverage ndo nilisahau kumuuliza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…