Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Voda ni kawaida yao kujifanya wao ni specialVoda wana Target wafanyabiashara na watu ambao wapo serious, hawa Airtel wana haki kudeal na wateja wa Kawaida kutokana na reliability yao. Coverage yao ipoje?
Hata gharama za makato ya pesa Vodacom wapo juu kuliko Airtel
Coverage ya Airtel ni sehemu yeyote kwasababu ina operate kwa njia ya Minara na Satelite
Na packages zote ni 5G yani sehemu ambayo hakuna 5G basi utaweza kutumia 4G kwa Mbps zile zile.
Lakini Voda sehemu ambayo hakuna 5G itakulazimu uchukue Router ambayo ni fixed 4G na ulipie kifurushi cha 4G
.
Lakini since hizi Router ni movable maana yake siku ukiwa sehemu yenye 5G access kwa Voda hutaweza kupata 5G network