Bei zako ni too expensiveHALOTEL CUG
15GB + Dk + Sms = Bei 28,000.
20GB + Dk + Sms = Bei 37,000.
25GB + Dk + Sms = Bei 40,000.
30GB + Dk + Sms = Bei 48,000.
42GB + Dk + Sms = Bei 60,000.
52GB + Dk + Sms = Bei 78,000.
65GB + Dk + Sms = Bei 90,000
120GB + Dk + Sms = Bei 140,000.
NB: *Bando inadumu zaidi ya miezi 3 na Kila package Ina Dak 1100 sms 1000 pia zinaweza kuwa Mara mbili itategemea na ofa Kwa muda huo
Majibu Gani ayo mkuu
Bro zinapatikanaje hizo?Bei zako ni too expensive
Halotel kuna line inayotoa 18GB kwa 15K
Means kwenye 15K unapata bonus ya 3GB
Kuna mdau aliweka screenshot hapaBro zinapatikanaje hizo?
Company gani hii Mkuu?Jamaa zangu leo ndio wamenifungia nimelipa 236000 miez minne speed ni 20mbpsView attachment 2740987
Hawa wanajiita net solution mkuu nilishaipost huko juu ni fiber...kwa mwezi ni 59000 unlimitedCompany gani hii Mkuu?
Daah kongole sana mkuuHawa wanajiita net solution mkuu nilishaipost huko juu ni fiber...kwa mwezi ni 59000 unlimited
Pamoja sana mkuu...leo ni mwendo wa kustream tu mpaka niizoee[emoji16][emoji16]Daah kongole sana mkuu
Nakuonea wivuPamoja sana mkuu...leo ni mwendo wa kustream tu mpaka niizoee[emoji16][emoji16]
Sio mbaya mkuu.nakuombea wakufungie mapema manaake me nilisubiri week hivi.ila sijajutia kabisaNakuonea wivu
Sema namimi nimetuma maombi kwenye kampuni la Faiba wapo jirani na mimi.
Wanatoa speed kama yako ila gharama inazidi 10K ambayo sio mbaya
Mi nimekuwa na wasiwasi na speed ya 10Mbps nikiona kama haita satisfy matumizi yanguSio mbaya mkuu.nakuombea wakufungie mapema manaake me nilisubiri week hivi.ila sijajutia kabisa
Hawa ni lazima fiber iwe imepita karibu, au wanatoa rooter ?Hawa wanajiita net solution mkuu nilishaipost huko juu ni fiber...kwa mwezi ni 59000 unlimited
Zilipendwa hii serikali baada ya kuona vijana tunaenjoy wamevipiga panga shwaaa 😁Mkuu mtoa mada hii kitu bado ipo au imeishakuwa zilipendwa? Please update your thread.
Mbona kausha damu hiiHALOTEL CUG
15GB + Dk + Sms = Bei 28,000.
20GB + Dk + Sms = Bei 37,000.
25GB + Dk + Sms = Bei 40,000.
30GB + Dk + Sms = Bei 48,000.
42GB + Dk + Sms = Bei 60,000.
52GB + Dk + Sms = Bei 78,000.
65GB + Dk + Sms = Bei 90,000
120GB + Dk + Sms = Bei 140,000.
NB: *Bando inadumu zaidi ya miezi 3 na Kila package Ina Dak 1100 sms 1000 pia zinaweza kuwa Mara mbili itategemea na ofa Kwa muda huo
Duu inakimbiza alooNilikuwa napima speed yake mida hiiView attachment 2740989
Speed nzuri mkuu kwa hio bei, TTCL cha 55k ni 10mbps upload.Nilikuwa napima speed yake mida hiiView attachment 2740989
Ndio mkuu..rooter unapewa piaHawa ni lazima fiber iwe imepita karibu, au wanatoa rooter ?