Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mkuu router ya aina YOYOTE tu inakubali?
Kwa njia hio ya Ethernet router yoyote yenye wan inakubali, inawezekana kuna router hazikubali ila zitakua chache sana na za kizamani.
 
Wale mnaotumia basi la blue [emoji838][emoji838] la vijana, download ZIVPN nikutumie config file. Sema speed yake ya kindezi sana thou wasap meseji unatuma na kupokea kama kawaida. In short iko slow Ila sio mbaya kwa chatting kama hivi Jf unaingia ila usitegemee kuingia YouTube upate speed ya kuridhisha.
 
Basi la blue ndio Mtandao gani?

Tigo au?

Au umetumia code ili kuwachanganya wahusika wasijue kama ni wenyewe ili wasije ku block host?
 
@Chief_mkwawa nataka niagize hii unashaurije?
Screenshot_20230907_222129_com.alibaba.aliexpresshd.jpg
 
Back
Top Bottom