Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Nawezaje kuondoa hizi notifications za fm radio?
Nikiwasha data zinakuja tu
Screenshot_20230908-132125.png
 
Hii mbona bado ni expensive,? Wakati unapata GB 5 kwa 5000
GB 9 kwa 10,000
GB 18 kwa 15,000
GB 38 kwa 30,000
GB 66 kwa 50,000
GB 110 kwa 75,000
GB 210 kwa 100,000
Na ni vya mwezi na kuendelea adi mwaka na unaungwa bure tu kwa huo mtandao tena laini unaimliki ukitaka kujiunga mwenyewe unajiunga tuu...!

Ongeeni vizuri na watu muache kupigwa!

Anaetaka anicheki bure!
Mkuu,
Naomba kupata maelekezo yako kuweza kuwa na vifurushi hivi?
 
Huyu jamaa hapa na kuna mwingine pia wamesema huduma hii ni buree kiukweli inasaidia sana kuliko hata postpaid kama itadumu mda mrefu.

Hivi vifurushi naona watu kama wanavipotezea fulani lakini mi binafsi nmevipenda sana ni mtandao wa halotel laini unasajili ni kwa ajili ya internet tu haipigi simu wala haitumi sms, haipigiwi wala haipokei sms...


Laini hizi mpya kwa ajili ya internet tu Ukipiga unaambiwa namba hii haipo nasikia namba yake haianzi na ziro hapana ni huduma mpya.. Mimi pia nimepewa haya maelekezo na mtu aliepost humu ukihitaji huduma unapata.


Mimi kwa sasa nipo na postpaid ya tigo nina mwezi wa 4 sasa ila nampango nikifikisha miezi 6 nivunje mkataba na tigo sjui wtanikubalia hivi kuna ambae amefanikiwa kuvunja mkataba huu, alifanyaje naomba anielekeze na mi nivunje aisee wakati najiunga sijujaza mkataba wowote wa tigo maana niliungwa na mdau nilimtumia taarifa zangu kweny WhatsApp nataka nihamie kweny hii halotel aisee mambo ni fire[emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 2725031View attachment 2725049
Mkuu,napataje hiki kifurushi?
 
Back
Top Bottom