Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Imenigomea🤣
 
Hii labda ili iwezekane zitafutwe IMEI za simu ambayo ilikubali kisha zibadilishwe digits za mwishoni ndio u request

Nadhani inaweza ikawa inafanya kazi kama zile offer za bando zinazotolewa na kampuni la mtandao. Kama tigo kitochi ambayo ilikuwa inatoa GB 5
 
Inasema ofa ipo simu janja mpya, unaweza tupa hint ya hizo simu zinazohitajika?
 
😁😁🤣🤣🤣
 
Imekubali hii
 
Imenkubalia asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…