Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mkuu shukran imekubali
 
Wakuu vip......,

Gb 10 Tigo( 6.5 social, 3.5 Internet) kwa 10,000 tuu...., Kifurushi kinakaa kwa siku 14

Ni mfumo wa Tigo Mpango ila si mnajua wametushtukia sa hivi hawarudishi tena kila mwezi[emoji23]
 
Wakuu vip......,

Gb 10 Tigo( 6.5 social, 3.5 Internet) kwa 10,000 tuu...., Kifurushi kinakaa kwa siku 14

Ni mfumo wa Tigo Mpango ila si mnajua wametushtukia sa hivi hawarudishi tena kila mwezi[emoji23]
Hao ni utapeli

Tigo waache uhuni
 
Hao ni utapeli

Tigo waache uhuni
Yah nashangaa vile vufurushi vya Tigo Mpango mwanzo nilikuwa naunga kwa watu fresh na vikawa vinafanya kazi ila baadae wakastop kuvitoa tena ikawa mbaya zaidi mpaka wale ambao tumewauzia simu Za Tigo na wenyewe vikapotea

Kuja kufuatilia naona walisema ni tatizo wanaweka sawa ila mpaka leo bado hamna kitu
 
Wezi hao
 
Umepata 13GB complete hapo hapo au ndio mambo ya Joh Makini ya nusu nusu?
1GB kwa wiki mkuu, wiki ya kwanza unapokea 1GB bila masharti, wiki 12 zilizobakia unatakiwa angalau uweke vocha ya buku. Kama unaunga kifurushi cha 1000 mb 490 ina maana kila wiki unapata gb 1.49 kwa 1000 ndio nilivyoelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…