Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Wanazingua sana hawa watu yani kwasababu wana uhakika wa kupokea mishahara kila mwezi ndio maana work ethics imekuwa finyuHakika Tanzani bado tuna safari ndefu katika huduma kwa mteja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanazingua sana hawa watu yani kwasababu wana uhakika wa kupokea mishahara kila mwezi ndio maana work ethics imekuwa finyuHakika Tanzani bado tuna safari ndefu katika huduma kwa mteja.
Hili sio jukwaa la stori kama vipi waende WhatsApp maana mazungimzo yao yapo kiwasap wasap tuDunia inabadilika mkuu ..tujifunze kukimbizana nayo
Nilipo TTCL waliniambia kwa sasa fiber bado haijafika, nikaona kwa mwendo wao si leo wala kesho kupafikia.Kongole kwako
Si wengine bado tunasumbuana na TTCL
Ukisoma tangazo lao ni kwamba fiber inafika popote pale.Nilipo TTCL waliniambia kwa sasa fiber bado haijafika, nikaona kwa mwendo wao si leo wala kesho kupafikia.
Kwani boss fiber haina vifurushi??! Hapa tunazungumzia internet kwa ujumla jinsi ya kujikwamua na gharama za mabundle...hapa ndipo fiber pia ilipoanzia..Hili sio jukwaa la stori kama vipi waende WhatsApp maana mazungimzo yao yapo kiwasap wasap tu
We utakuwa hujui fiber ni niniHili sio jukwaa la stori kama vipi waende WhatsApp maana mazungimzo yao yapo kiwasap wasap tu
ZIVPN, hhtp custom, world link proxy
Iphone wire turnMkuu kwa tunaotumia ifoni za makumbusho huu mchongo unatuhusu
Au ni kwa Android tu?
Tupe maujanja please [emoji120]
Mimi piaImenigomea[emoji1787]
Stark vpnZIVPN, hhtp custom, world link proxy
[emoji16][emoji16]Hao ni utapeli
Tigo waache uhuni
Ni kweli kabisa lakini mimi nilienda ofisini wakanipa namba ya mhudumu ili niunganishiwe bure lakini mhudumu hakuwa tayari kunihudumia bure hivyo nikakutana na kijana mmoja anaye sajili laini akanihudumia kwa kulipiaMnao pigwa na vijana wanao waambia muwape 10k ili waunge sme huo ni uhuni sana ukienda kwenye maduka ya mitandao hiyo huduma ni bure kabisa
Ni muhimu kufika ofisi ya mtandao husika ili usaidiweNi kweli kabisa lakini mimi nilienda ofisini wakanipa namba ya mhudumu ili niunganishiwe bure lakini mhudumu hakuwa tayari kunihudumia bure hivyo nikakutana na kijana mmoja anaye sajili laini akanihudumia kwa kulipia
Iphone wire turn
TigoLine ya mtandao gani inatoa access?
Router yako haina hata Lan?WAKUU VIP?
HEBU NISAIDIENI KIFAA NACHOWEZA KUONGEZA UWEZO WA WIFI YANGU IWEZE KUFIKA MBARI MAANA ILE NJIA ALIO ELEZA CHIEF KWANGU HAKUNA NYUMA INA TUNDU ZA ETHERNET CABLE TU HAKUNA KINGINE
Ni ajabu mkuu Haina yhn only i see ni Ethernet cable tu ziko nne basiRouter yako haina hata Lan?
Pia zipo extender za wifi to wifi, hazina quality kama njia ya waya ila zinasaidia pia
Una connect vip izo mkuu maelekezo kidogo!Router yako haina hata Lan?
Pia zipo extender za wifi to wifi, hazina quality kama njia ya waya ila zinasaidia pia