Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Una connect vip izo mkuu maelekezo kidogo!
Kwenye market naziona hizi zinapostiwa

Chief-Mkwawa Unaweza kuweka hints
Screenshot_20230914-183529.png
Screenshot_20230914-183703.png
 
Kutokana na Uhaba wa Vifurushi kwa sasq, vifurushi vizuri vinapatikana Tigo postpaid na Airtel Sme.

Airtel SME.
View attachment 2741119

Tigo postpaid
View attachment 2741120

Namna ya kupata official hivi vifurshi, tembelea wakala wa mtandao husika wa karibu ukiwa na Tin no, leseni na kitambulisho.

Kama huna details hapo juu wapo mawakala wanaunga bila Tin no, kwenye huu uzi wapo pia, ila kuwa makini na matapeli.

Update.

Kwa wanaojiweza vipo pia vifurushi vya Unlimited vya 5G kwa sasa vinapatikana Airtel na Vodacom kwa urahisi.

Vodacom
-kasi internet inaanzia 50,000 kwa mwezi, unatumia around GB 20 speed inashuka ila inabaki unlimited. Sio kifurushi kibaya kama umekosa internet nyengine.

-Supakasi hii inaanzia 115,000 ni unlimited. Sema inahitaji tin no na leseni

Airtel
Wana unlimited kama Vodacom ila hii inaanzia 70,000 kwa mwezi na instalation fee ni 200,000 malipo ya mara moja, uzuri wa hii mtu yoyote anaungwa sio lazima uwe mfanyabiashara.
Mkuu hii superkasi naweza kwenda ofisini kwao nikaipata?
 
Ndo lan yenyewe hio mkuu, hio router ya pili ndio iwe na wan, utachomeka ethernet kwenye Lan yako na Wan ya router ya pili.
So hapo unaamanisha hio cable nitayo tumia itakua na njia mbili yhn Ethernet kwenda wan? Au sijaelewa
 
Mkuu hizo port zinakua na rangi yoyote Ili kujua hii ni lan na hii wan?
Most of time lan ni njano na wan inaandikwa kabisa Wan kwa nje,

Sema nimewahi kusoma mahala kuna router unaweza ifanyia configuration port ya Lan itumike kama wan, utaangalia menu zako za router.

Ila kama router ya sasa ina LAN tu sio issue hakikisha tu router utakayonunua ku extend in Wan.

Uhuru na Msimbazi haya marouter yamejaa kibao as cheap as 5000, sema kupata quality nzuri tafuta wifi 5 aka IEEE 802.11ac itakua na speed nzuri.
 
MKUU KUNA KITU NILIKUWA SIJAELEWA NIMEANGALIA HII ROUTER KWA NYUMA KWENYE ZILE ETHERNET NIMEKUTA IMEANDIKWA SEHEMU WAN/LAN NA ZINGNE NI LAN TU PEKEE UWELEWA WANGU NILIKUWA NAJUA IZO LAN NI WAN NI ZINA MUONEKANO TOFAUT ASEE
 
Most of time lan ni njano na wan inaandikwa kabisa Wan kwa nje,

Sema nimewahi kusoma mahala kuna router unaweza ifanyia configuration port ya Lan itumike kama wan, utaangalia menu zako za router.

Ila kama router ya sasa ina LAN tu sio issue hakikisha tu router utakayonunua ku extend in Wan.

Uhuru na Msimbazi haya marouter yamejaa kibao as cheap as 5000, sema kupata quality nzuri tafuta wifi 5 aka IEEE 802.11ac itakua na speed nzuri.
Ubarikiwe sana mkuu ,sijutii kuijua jf ukiwemo wewe...naona unazidi kunipa hamu niende kariokoo nikanunue hizi used wifi..kipengere sijajua urefu wa wire itakua bei gani naona kama zina bei ghari hivi.
 
Back
Top Bottom