Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Unganishwa na vifurush vya miezi mitatu. *Vodacom* *Airtel* na *Halotel* Pata dakika 1200 mitandao yote. SMS 5000 na 10GB kwa *VODACOM* Kwa Shillingi 8,000 *Airtel* na *Halotel* Pata dakika 750 mitandao yote, SMS 5000 na 10 GB kwa Shillingi 6000.
For inquiries njoo inbox.

"Ideas are easy but Implementation is hard."
 

Weka namba
 

nakuja mkuu.
 
Kwanini mnaongeza shilingi 100 wakati kuna uwezekano wakupata katika bei elekezi?
 
Faida ya nini wakati kuna watu wanaofanya kwa bei elekezi, Mfano kuna balozi wao udom anaitwa frank lugano ye atozi ziada yoyote. So nlikua nawapa watu options nyingine.
Ni kweli hata mimi huwa nanunua kupitia kwake huyo jamaa kwa muda Frank Lugano
 
Watumiaji wa tigo, ni bando gani la internet la bei rahisi na angalau lina mb nyngi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…