Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Ina mana huko airtel wao wana vocha na wala sio laini?

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa hivi wana vyote mkuu, kuna situation tatu tofauti kwa airtel

1. ukiwa na line ya kawaida unaweza jiunga vifurushi vya chuo kwa kutumia ofa kabambe ipo kwenye menu ya airtel money (ila cha usiku hamna)

2. ukiwa na line ya kawaida unaweza jiunga vifurushi vya chuo kupitia vocha za chuo.

3. unaweza ukawa na line za chuo ukaunga vifurushi vya chuo
 
Mkuu menu ya voda vifurushi maalum nisaidie tafadhali
kuongezea kila line ina vifurushi vyake maalum, kama una line zaidi ya moja ya voda jaribu zote ili uone ipi itakupa kifurushi kizuri.
 
sasa hivi wana vyote mkuu, kuna situation tatu tofauti kwa airtel

1. ukiwa na line ya kawaida unaweza jiunga vifurushi vya chuo kwa kutumia ofa kabambe ipo kwenye menu ya airtel money (ila cha usiku hamna)

2. ukiwa na line ya kawaida unaweza jiunga vifurushi vya chuo kupitia vocha za chuo.

3. unaweza ukawa na line za chuo ukaunga vifurushi vya chuo
mkuu nina line ya airtel ya chuo. hii ofa ya usiku inapatikana vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom